• Baada ya kutangazwa kuuawa kiongozi wa Daesh, wanachama wake wamalizana

    Baada ya kutangazwa kuuawa kiongozi wa Daesh, wanachama wake wamalizana

    Jul 11, 2017 23:34

    Baada ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutangaza kifo cha mkuu wake Ibrahim al Samarrai, maarufu kwa jina la Abu Bakr al Baghdadi, kumezuka mapigano baina ya wafuasi wa al Baghdadi na wapinzani wake ndani ya genge hilo katika mji wa Tal Afar, magharibi mwa Mosul kaskazini mwa Iraq. Wafuasi kadhaa wa Abubakar al Baghdadi wametiwa mbaroni na mahasimu wao.

  • Ushindi wa Wairaq dhidi ya ISIS Mosul, wawatia kiwewe na hasira Wasaudia

    Ushindi wa Wairaq dhidi ya ISIS Mosul, wawatia kiwewe na hasira Wasaudia

    Jul 11, 2017 03:41

    Katika radiamali ya pupa kufuatia kutangazwa rasmi ushindi wa jeshi la Iraq dhidi ya magaidi wakufurishaji wa kundi la Daesh (ISIS) mjini Mosul, wadukuzi wenye mafungamano na Saudia wamevamia mtandao wa habari wa Twitter wa kanali ya al-Alam .

  • Ahadi ya kuchekesha ya Saudia katika kuishawishi Iraq ijiunge na nchi zilizo dhidi ya Qatar

    Ahadi ya kuchekesha ya Saudia katika kuishawishi Iraq ijiunge na nchi zilizo dhidi ya Qatar

    Jul 10, 2017 22:36

    Vyanzo vilivyo karibu na Haidar al-Abadi Waziri Mkuu wa Iraq vimesema kuwa Saudi Arabia inaishiinikiza nchi hiyo ili ijiunge na nchi zinazoiwekea vikwazo Qatar

  • Waziri Mkuu wa Iraq atangaza rasmi ushindi dhidi ya ISIS Mosul

    Waziri Mkuu wa Iraq atangaza rasmi ushindi dhidi ya ISIS Mosul

    Jul 09, 2017 09:46

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza rasmi ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mji wa Mosul miezi minane baada ya kuanza vita dhidi ya magaidi hao wakufurishaji.

  • Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Jul 08, 2017 22:20

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa, ndege za kivita za nchi hiyo na waitifaki wake zimeuwa mamia ya raia huko Syria na Iraq.

  • UN: Gharama za kuijenga upya Mosul ni zaidi ya dola bilioni moja

    UN: Gharama za kuijenga upya Mosul ni zaidi ya dola bilioni moja

    Jul 06, 2017 23:24

    Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, gharama za kuujenga upya mji wa Mosul wa kaskazini mwa Iraq ni zaidi ya dola bilioni moja.

  • Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa mjini Mosul, Iraq

    Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa mjini Mosul, Iraq

    Jul 05, 2017 03:40

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Shirikisho la Iraq ametangaza habari ya kuangamizwa zaidi ya magaidi 60 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wakati wa kusafishwa eneo la kale la mji wa Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Jul 04, 2017 23:34

    Katika hali ambayo kundi la kigaidi la Daesh linavuta pumzi zake za mwisho nchini Iraq katika siku hizi za kukaribia mwisho operesheni za kijeshi katika mji wa Mosul na kusafishwa sehemu kubwa ya maeneo hayo na uwepo wa magaidi hao na hivyo kuyafanya macho na masikio ya walimwengu kuelekea katika hatua ya mwisho ya uwepo wa Daesh katika nchi hiyo, duru za kisiasa za nchi hiyo ya Kiarabu zimeripoti habari ya kuweko njama mpya za Marekani katika hatua hiyo.

  • Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul

    Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul

    Jul 04, 2017 11:10

    Wabunge wa Iraq wamefanya sherehe kufurahia ushindi wa hivi karibuni na kukomblewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri wa Daesh. Hatua hiyo imechukuliwa na Bunge la Iraq ili kuonyesha mshikamano wa Bunge na vikosi vya jeshi la nchi hiyo na harakati ya wananchi ya Hashdu Sha'abi.

  • ISIS yawafanya wakimbizi wakazi laki tisa wa Mosul, Iraq

    ISIS yawafanya wakimbizi wakazi laki tisa wa Mosul, Iraq

    Jul 03, 2017 10:46

    Waziri wa Uhamiaji wa Iraq amesema kuwa, uvamizi na uharibifu mkubwa uliofanywa na genge la kigaidi la Daesh ambao umelilazimisha taifa zima la Iraq kusimama na kuendesha mapambano ya kuukomboa mji wa Mosul wa kaskazini mwa nchi hiyo, umesababisha zaidi ya wakazi laki tisa wa mji huo kuwa wakimbizi.