Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT

    Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT

    Dec 08, 2022 23:10

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeunga mkono kwa wingi mkubwa mno wa kura azimio la kuutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel uachane na silaha zake za nyuklia na kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT).

  • Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin

    Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin

    Dec 08, 2022 07:21

    Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Dec 07, 2022 10:22

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.

  • Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

    Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

    Dec 06, 2022 23:43

    Mtandao wa Habari wa Al -Jazeera umetangaza kuwa umewasilisha kesi ya mauaji ya mfanyakazi wake, Shireen Abu Akleh, katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa huko Hague.

  • Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 04, 2022 04:22

    Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    Dec 01, 2022 09:46

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kuunga mkono azimio lenye maslahi kwa Palestina la kutaka kuadhimishwa Siku ya Nakba, inayokumbusha tukio chungu la kuasisiwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Nov 30, 2022 07:15

    Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimesema hali ya usalama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ni ya 'hatari' na kwamba Tel Aviv inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina.

  • Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

    Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

    Nov 22, 2022 04:06

    Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds tukufu, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

    Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

    Nov 21, 2022 07:55

    Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa mashirika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Israel yatumia bunduki za roboti dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Israel yatumia bunduki za roboti dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Nov 17, 2022 03:25

    Jeshi la utawala haramu wa Israel limepeleka silaha mpya za roboti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huku makabiliano baina ya Wazayuni na Wapalestina yakipamba moto.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS