Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

    Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

    Nov 14, 2022 07:27

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel.

  • Kuwait: Israel inapaswa kuweka vituo vyake vya nyuklia chini ya usimamizi wa IAEA

    Kuwait: Israel inapaswa kuweka vituo vyake vya nyuklia chini ya usimamizi wa IAEA

    Nov 12, 2022 04:04

    Kwa mara nyingine tena Kuwait imeutaka utawala haramu wa Israel ujiunge na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) na kuweka vituo vyake vyote vya nyuklia chini ya mfumo wa usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel

    Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel

    Nov 04, 2022 03:14

    Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina.

  • HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

    HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

    Nov 03, 2022 08:10

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema wananchi wa Palestina wataendeleza kwa nguvu zote jitihada na mapambano ya kulikomboa kikamilifu taifa lao kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne

    Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne

    Nov 02, 2022 04:50

    Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne ulifanyika jana Jumanne tarehe 1 Novemba.

  • Jeshi la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Nablus

    Jeshi la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Nablus

    Oct 29, 2022 00:24

    Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza umwagaji damu dhidi ya Wapalestina madhulumu katika mji wa Nablus ulioko katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi wawili miongoni mwao.

  • Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: 'Basi tena, tutaabani'

    Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: 'Basi tena, tutaabani'

    Oct 25, 2022 23:03

    Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake.

  • Wapalestina 5 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina 5 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Oct 25, 2022 07:49

    Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina watano.

  • Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine

    Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine

    Oct 18, 2022 04:10

    Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.

  • Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    Oct 18, 2022 04:07

    Serikali ya Australia imetangaza habari ya kubatilisha uamuzi wake tata wa kulitambua eneo la magharibi mwa Quds linalokaliwa kwa mabavu, eti kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS