-
Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni
Oct 11, 2022 08:42Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 06, 2022 23:06Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa yeye ni Zayuni "la kutupwa" yaani Mzayuni mkubwa sana na amesema atahakikisha uhusiano wa London na Wazayuni utaimarika mno wakati wa uongozi wake.
-
Mkutano wa ushirikiano wa Israel na EU wakosolewa
Oct 04, 2022 04:16Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Palestina yamelaani mkutano wa ushirikiano baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Ulaya, wakati huu ambapo utawala huo haramu umeshadidisha hujuma na mbinyo dhidi ya Wapalestina.
-
Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish
Sep 17, 2022 07:29Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.
-
Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi
Sep 14, 2022 03:22Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Mashirika 290 yamtaka Biden asimamishe hujuma za Israel dhidi ya Palestina
Sep 02, 2022 07:33Zaidi ya mashirika 290 ya Marekani na kimataifa yametoa mwito kwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo yakimtaka achukue hatua za kivitendo za kuzuia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora
Sep 01, 2022 03:02Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi
Aug 30, 2022 21:52Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulio haramu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimefichua sura halisi ya Wamagharibi likija suala la haki za binadamu.
-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina watishia kuanza mgomo wa kula
Aug 29, 2022 22:02Wafungwa zaidi ya 1,000 wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kuwa wataanza mgomo wa kula chakula kulalamikia kukanyagwa kwa haki zao na ukandamizaji.
-
Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA
Aug 29, 2022 06:32Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) anatazamiwa kuelekea Washington kufanya mikutano kadhaa ya faragha na maafisa wa serikali ya Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.