-
Jenerali: Tutateketeza Tel Aviv, Haifa iwapo Israel itafanya kosa dhidi ya Iran
Jun 08, 2022 06:19Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, Tehran itaiteketeza miji ya Tel Aviv na Haifa iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utajaribu kufanya kosa lolote dhidi ya taifa hili.
-
Amnesty International: Israel ikubali kubeba dhima ya jinai zake dhidi ya Wapalestina
May 19, 2022 08:05Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesisitiza kuwa, haipasi tusahau kuuawa kwa Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya Aljazeera.
-
Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel
Apr 25, 2022 06:12Mrengo wa Sadr unaoongozwa na mwanachuoni mashuhuri wa Kishia nchini Iraq, Muqtada al-Sadr umeandaa muswada wa sheria inayoharamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Morocco yaendeleza siasa za kindumilakuwili kuhusu wananchi wa Palestina
Apr 22, 2022 22:19Baada ya serikali ya kifalme ya Morocco kufanya usaliti dhidi ya kadhia ya Palestina ambayo ndiyo muhimu zaidi kwa Umma wa Kiislamu, na baada ya Rabbat kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala pandikizi wa Kizayuni, hivi sasa nchi hiyo inajifanya kuguswa na jinai za Israel.
-
Al-Jazeera: Iran imeionya Israel, yaiambia maghala yako ya silaha yatalengwa
Apr 22, 2022 02:41Televisheni ya Al-Jazeera ya Qatari imeripoti kuwa, Iran imetuma picha na ramani za maghala ya silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni kwa serikali ya Tel Aviv kupitia nchi moja ya Ulaya.
-
Mufti wa Oman awakosoa viongozi wa Kiarabu wanaofuturu na Wazayuni huku al Aqsa ikitiwa najisi
Apr 20, 2022 22:19Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, amepongeza misimamo ya kishujaa ya wanamapambano wanaoendelea kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mkuu wa zamani wa ujasusi wa Israel: Bin Salman anaitazama Tel Aviv kama mshirika
Apr 17, 2022 03:23Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anaitazama Tel Aviv kama mshirika wake wa karibu.
-
HAMAS: Vitisho vya Israel haviwezi kuwababaisha Wapalestina
Apr 13, 2022 03:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amejibu matamshi ya kifedhuli ya Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz na kusisitiza kuwa: Vitisho kamwe haviwezi kuwababaisha na kuwashtua Wapalestina
-
Libya yakataa kucheza na Israel mchezo wa vitara huko Imarati
Apr 12, 2022 05:56Timu ya taifa ya mchezo wa kushindana kwa vitara (fencing) ya Libya imekataa kucheza na utawala haramu wa Israel katika mashindano ya ubingwa wa mchezo huo katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ili kuonesha mshikamano wao kwa wananchi wa Palestina.
-
Israel yashadidisha kamatakamata dhidi ya Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani
Apr 07, 2022 09:13Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewashambulia Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwatia mbaroni 13 miongoni mwao.