-
Ripoti: Israel imewateka nyara watoto 9,000 wa Kipalestina tokea 2015
Apr 05, 2022 02:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewateka nyara maelfu ya watoto wa Kipalestina katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Ujumbe wa Israel wakutana na wakuu wa jeshi la Sudan mjini Khartoum
Apr 03, 2022 22:05Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya safari ya siri mjini Khartoum, na kukutana na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan.
-
Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin
Apr 03, 2022 03:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelionya vikali jeshi katili la utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Jenin.
-
Israel yawaua shahidi Wapalestina 3 siku ya kwanza ya Ramadhani
Apr 02, 2022 08:38Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihadul Islami: Operesheni dhidi ya Israel ni jibu kwa jinai zake
Mar 31, 2022 22:59Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema operesheni za hivi karibuni za wanamuqawama wa Kipalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni jibu kwa jinai za utawala huo pandikizi na hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Wazayuni 5 wauawa kwa kupigwa risasi mjini Tel Aviv
Mar 30, 2022 02:08Kwa akali Waisraeli watano wameangamizwa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo viungani mwa mji wa Tel Aviv.
-
Abbas akosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Russia na Ukraine
Mar 28, 2022 21:01Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) Mahmoud Abbas amezikemea nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kinafiki na kindumakuwili baada ya kuchukua hatua kali dhidi ya Russia kuhusu operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine huku zikipuuza uhalifu unaofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina
Mar 27, 2022 06:20Amir wa Qatar amekosoa vikali hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kusisitiza kuwa, asilimia kubwa ya jamii ya kimataifa imefumbia macho kadhia hiyo kwa miongo kadhaa sasa.
-
UN: Jamii ya Kimataifa ndiyo inayobeba dhima ya 'Apatheid' ya utawala wa Kizayuni
Mar 26, 2022 22:01Umoja wa Mataifa umesema kuwa, kuendelea kuweko mfumo wa ubaguzi wa rangi aina ya Apatheid unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina, sababu yake ni udhaifu wa jamii ya kimataifa na jamii hiyo ndiyo iliyopelekea kutokea ubaguzi huo.
-
Syria yaitaka UN iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake Golan
Mar 26, 2022 09:07Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo liuwajibishe na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.