-
Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel
Feb 11, 2016 21:31Jumatano ya tarehe 10 Februari, mahakama moja huko Baytul Muqaddas ilitoa hukumu dhidi ya Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kwa kuharibu mchakato wa kusikiliza kesi yake. Inatarajiwa kuwa, Jumatatu ijayo, Olmert atapelekwa jela rasmi. Kabla ya hapo pia, waziri mkuu huyo wa zamani wa utawala wa Kizayuni alikuwa amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ufisadi mkubwa wa fedha na kutumia vibaya madaraka yake.
-
Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina
Feb 09, 2016 11:24Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza
Feb 07, 2016 00:11Ripoti mbalimbali kuhusu Ghaza zinabainisha kuwa eneo hilo linakabiliwa na hali mbaya kutokana na kusuasua zoezi la kukarabati uharibifu uliosababishwa na jinai kubwa za utawala wa Kizayuni hususan katika vita vitatu vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.