-
Waziri Mkuu wa Italia asisitiza kutekelezwa makubaliano na Iran
Apr 13, 2016 14:16Waziri Mkuu wa Italia ametilia mkazo kutekelezwa makubaliano yaliyosianiwa kati ya nchi yake na Iran.
-
Kiongozi: Marekani inatoa misaada kwa magaidi
Apr 12, 2016 18:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
-
Waziri Mkuu wa Italia atembelea Iran kuhuisha uhusiano
Apr 12, 2016 16:05Rais Hassan Rouhani amesema kuwa Iran inataka kuona uhusiano wa kibiashara na Italia unafika kiwango kilichokuwepo kabla ya nchi hii kuwekewa vikwazo vya nyuklia.
-
Padri wa Kikatoliki atimuliwa kwa kuwalawiti vijana Italia
Mar 27, 2016 14:33Padri mmoja wa Kanisa Katoliki mjini Milan nchini Italia amesimamishwa kazi baada ya kubainika kuwa amekuwa akimhonga kijana mmoja barobaro ili afanye naye ulawiti.