-
Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran
Nov 09, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.
-
Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana
Nov 08, 2021 07:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itaondoka nchini Iraq, amani na uthabiti wa nchi hiyo ya Kiarabu utapatikana.
-
Madai ya White House: Tutarejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itafanya hivyo
Nov 08, 2021 04:37Jake Sullivan Mshauri wa Usalama wa Taifa wa serikali ya Marekani kulingana na madai ya Washington kwa mara nyingine tena amedai kuwa eti kama Iran itarejea katika mapatano ya JCPOA nayo pia itafanya hivyo.
-
Iran: Kundi la 4+1 liwe tayari kwa mazungumzo yatakayoheshimu haki
Nov 02, 2021 11:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la 4+1 lililosalia katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA linapaswa kujiandaa kwa mazungumzo ya kuhuisha mapatano hayo ya kimataifa, kwa kuzingatia na kuheshimu misingi ya haki na maslahi ya pande zote.
-
Pelosi atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, amkosoa Yair Lapid
Oct 22, 2021 20:51Spika wa Kongresi ya Marekani ametetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1 katika mazungumzo yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawla haramu wa Israel mjini Washington.
-
Iran: Mabadilishano ya wafungwa yasihusishwe na mazungumzo ya JCPOA
Oct 19, 2021 09:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inalitazama suala la kubadilishana wafungwa kuwa la kibinadamu, na haitaki kuona likifungamanishwa na mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana
Oct 06, 2021 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA inapasa iwe na matokeo ya maana na yenye kutekelezeka.
-
Russia yataka Iran iondolewe vikwazo vyote vya nyuklia ilivyowekewa
Sep 17, 2021 06:51Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika asasi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria ametoa wito wa kuondolewa vikwazo vyote vya nyuklia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Raisi: Mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana
Sep 08, 2021 22:47Rais Ebrahim Raisi amesema, mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuchungwa na kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana baina ya pande mbili.
-
Mtazamo wa serikali mpya ya Iran kuhusu kuhuishwa mazungumzo ya nyuklia
Sep 03, 2021 21:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Austria kuhusu sera za kigeni zenye mlingano, kuratibu uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.