-
Russia: Mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA yataanza tena karibuni mjini Vienna
Aug 21, 2021 08:16Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna amejibu madai yaliyotolewa na afisa mmoja wa Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema, mazungumzo kuhusu makubaliano hayo yataanza tena hivi karibuni katiika mji mkuu huo wa Austria.
-
Russia: Hakuna mbadala wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Aug 02, 2021 05:56Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.
-
Ulyanov: Lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA
Jul 30, 2021 22:09Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA.
-
Robert Malley: Mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran yameshindwa vibaya
Jul 26, 2021 03:32Mjumbe Maalumu wa Marekani katika Masuala ya Iran amekiri kuwa vikwazo vya kidhulma na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya nchi hiyo dhidi ya Iran yamefeli vibaya na amekariri madai ya kila siku ya serikali ya Joe Biden kuwa eti Washington iko tayari kurejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itatekeleza majukumu yake.
-
Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA
Jul 06, 2021 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Jarida la Marekani Hill: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina taathira
Jul 04, 2021 03:51Jarida la Marekani la Hill limeandika kwamba siasa za Marekani za 'mashinikizo ya juu kabisa' hazijakuwa na matunda yoyote katika utawala wa Donld Trump na wala hazitakuwa na taathira yoyote katika utawala wa rais wa hivi sasa wa Marekani Joe Biden.
-
Kuhuishwa JCPOA kunategemea maamuzi magumu ya Marekani na Ulaya
Jul 02, 2021 22:15Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sasa wakati umewadia kwa Marekani na nchi tatu za Ulaya kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya kuanza kufungamana tena kikamilifu na mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA.
-
Iran: Waliovunja ahadi wanapaswa kufanya maamuzi magumu
Jul 01, 2021 03:13Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wale ambao walivunja ahadi zao ndio wanaopaswa kubainisha iradi yao ya kisiasa na ndio wanaopaswa kuchukua maamuzi magumu.
-
Wanachama wa Baraza la Usalama waitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo
Jul 01, 2021 03:11Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo vyote kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Araqchi: Ni muda wa pande nyingine husika ndani ya JCPOA kuchukua maamuzi
Jun 27, 2021 22:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, sasa ni wakati wa pande nyingine husika ndani ya mapatano ya JCPOA kuchukua maamuzi, na kwamba nchi hizo zinapasa kuchukua maamuzi magumu.