Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo

    Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo

    Jul 20, 2020 02:17

    Umoja wa Ulaya (EU) na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Ujerumani ni pande zilizokuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Borrell: Mapatano ya Trump hayawezekani, JCPOA ilindwe

    Borrell: Mapatano ya Trump hayawezekani, JCPOA ilindwe

    Jul 19, 2020 08:08

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena amesisitizia udharura wa kulindwa na kuheshimiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA, na kueleza bayana kuwa ni jambo lisiloyumkinika kufikiwa kile kinachoitwa "Mapatano ya Tump."

  • Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Jul 16, 2020 03:24

    Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani wamesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havina umuhimu wowote.

  • Rais Rouhani: Iran katu haitasalimu amri kwa mashinikizo ya madola makubwa hasa Marekani

    Rais Rouhani: Iran katu haitasalimu amri kwa mashinikizo ya madola makubwa hasa Marekani

    Jul 15, 2020 08:28

    Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haitasalimu amri kwa mashinikizo ya madola makubwa na hasa Marekani na akaongeza kwamba: Marekani ijue kwamba, kamwe haitafikia malengo yake licha ya hatua zake haribifu inazochukua dhidi ya maslahi ya taifa la Iran.

  • Zarif: Marekani inadhalilisha sheria na diplomasia na kuhatarisha usalama wa dunia

    Zarif: Marekani inadhalilisha sheria na diplomasia na kuhatarisha usalama wa dunia

    Jul 14, 2020 22:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe kwa mnasaba wa mwaka wa tano wa kufikiwa mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) na kusema: "Kitendo cha Marekani cha kudhalilisha sheria na udiplomasia ni jambo linalohatarisha usalama wa nchi hiyo na dunia kwa ujumla mbali na kuchafua jina la Washington katika uga wa kimataifa."

  • Mousavi: Vikwazo vya silaha dhidi yake vikirefushwa, Iran itatoa jibu kali

    Mousavi: Vikwazo vya silaha dhidi yake vikirefushwa, Iran itatoa jibu kali

    Jul 10, 2020 20:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa kufuatia mashinikizo ya Marekani basi Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na muafaka.

  • Zarif: EU inapaswa kufungamana na wajibu wake katika mapatano ya JCPOA

    Zarif: EU inapaswa kufungamana na wajibu wake katika mapatano ya JCPOA

    Jul 06, 2020 22:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zinapaswa kufungamana na wajibu wake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA.

  • Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Jul 05, 2020 21:57

    Licha ya Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya kuahidi kutekeleza ahadi zao katika fremu ya mapatano ya JCPOA, lakini pande mbili hizo zimeshindwa kabisa kutekeleza ahadi hizo.

  • Sisitizo la Borrell la kulindwa JCPOA na siasa za kindumakuwili za nchi za Ulaya

    Sisitizo la Borrell la kulindwa JCPOA na siasa za kindumakuwili za nchi za Ulaya

    Jul 04, 2020 19:47

    Umoja wa Ulaya na Troika ya bara hilo inayojumuisha nchi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa, zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Hata hivyo baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano hayo, nchi hizo zilikuwa na mwenendo hasi na usiokubalika katika kutetea na kulinda makubaliano hayo na pia katika utekelezaaji wake.

  • Borrel asema JCPOA ni mafanikio ya kihistoria

    Borrel asema JCPOA ni mafanikio ya kihistoria

    Jul 04, 2020 03:29

    Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema binafsi anaitakidi kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni mafanikio makubwa ya kihistoria yatakayosaidia katika mchakato wa kuangamiza silaha hatari za nyuklia duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS