-
Borrell akosoa msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya JCPOA
Feb 17, 2020 09:31Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayojumuisha Ujerumani, Ufaransa, na Uingereza ni pande ambazo zimekuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Lakini baada ya Markenai kujiondoa katika mapatano hayo, pande hizo hazijachukua hatua za kivitendo kuyalinda na sasa hata maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya wamekiri kuhusu udhaifu huo.
-
"Njia sahihi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, ni Ulaya kufungamana na JCPOA"
Feb 16, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inataraji kuwa nchi za Ulaya zitafungamana na ahadi zake kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama zilizovyoahidi, na kwamba hatua hiyo ndiyo njia pekee na sahihi ya kuyapatia ufumbuzi matatizo yaliyopo.
-
Borrell autaka Umoja wa Ulaya kudhamini haki za Iran kwa mujibu wa mkataba wa JCPOA
Feb 08, 2020 23:12Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema uhai wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA unafungamana na suala la Iran kudhaminiwa mafao yake katika mkataba huo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Wakala hautoi maoni kuhusu kupungua utekelezaji wa Iran ndani ya makubaliano ya JCPOA
Feb 06, 2020 04:12Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ambaye yuko ziarani nchini Marekani amesema kuwa, utoaji maoni kuhusu hatua ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake ndani ya JCPOA si katika majukumu ya taasisi hiyo.
-
Mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya yuko safarini Iran
Feb 03, 2020 08:16Josep Borell, mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya leo Jumanne amewasili Iran ikiwa ni safari yake ya kwanza humu nchini baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
-
Mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa EU kuitembelea Iran kwa mara ya kwanza
Feb 02, 2020 03:55Mkuu mpya wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya anatazamiwa kuwasili hapa mjini Tehran kesho Jumatatu, kujadili masuala yenye umuhimu kwa pande mbili na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 30, 2020 22:52Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Mei mwaka 2018 alichukua uamuzi wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo ya kimataifa, hatua ambayo ilikwenda sambamba na kuiwekea Iran mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa.
-
Russia: Hakuna haja ya kufanya makubaliano mapya na Iran
Jan 29, 2020 23:06Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa Moscow inaamini kwamba hakuna haja ya kufanyika makubaliano mapya ya nyuklia na Iran, na badala yake mapatano ya JCPOA ni lazima yatekelezwe.
-
Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja
Jan 23, 2020 08:30Hatua ya hivi karibuni ya troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ya kuanza kutekeleza utaratibu wa kutatua tofauti ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ambayo imeanzishwa kwa mashinikizo ya Marekani, imekabiliwa na radiamali kali ya Iran.
-
Iran: Kujitoa Marekani hakutushughulishi, kama Ulaya wataheshimu JCPOA nasi tutaheshimu
Jan 22, 2020 22:58Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, nchi zinazounda kundi la 4+1 katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zinapaswa kuheshimu vilivyo makubaliano hayo na kama nchi za Ulaya zitaheshimu vipengee vya mapatano hayo, Tehran nayo bila ya shaka yoyote itaheshimu.