-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
Russia yatoa indhari kwa Troika ya Ulaya kwa kuamua kutekeleza utaratibu wa kutatua mzozano katika JCPOA
Jan 18, 2020 11:40Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yaliyoko Vienna na katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki amesema, nchi yake imetoa indhari kwa Troika ya Ulaya kuhusu matokeo hasi ya hatua yake ya kutekeleza utaratibu wa kutatua mzozano katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Pendekezo la mazungumzo mapya ya nyuklia linaonesha udhaifu wa Ulaya
Jan 18, 2020 04:07Balozi wa Iran mjini Paris amesema pendekezo la kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran linaonesha udhaifu wa Ulaya na ni dhihirisho wazi kuwa nchi hizo zina uepesi wa kuvunja mapatano.
-
Kufichuka siri ya Trump alivyoishinikiza Troika ya Ulaya itekeleze 'Utaratibu wa Kifyatuo' katika JCPOA
Jan 16, 2020 23:18Licha ya madai zinayotoa nchi za Ulaya kuhusu ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Troika ya nchi hizo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, siku ya Jumanne ya tarehe 14 Januari iliamua kutekeleza utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika JCPOA, ambao kimsingi unatoa kitisho kwa Iran cha kuwekewa tena vikwazo vya nyuklia vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Kutekelezwa utaratibu wa kutatua hitilafu katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 15, 2020 09:22Nchi tatu za Ulaya zimeamua kutekeleza utaratibu wa kutatua hitilafu katika mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo yanajulikana rasmi kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Umoja wa Mataifa wasisitiza kudumishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 15, 2020 09:10Umoja wa Mataifa umezitaka pande zote husika katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kufanya kila ziwezalo kuhakikisha kwamba, zinayadumisha makubaliano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Umoja wa Ulaya: Hakuna mbadala wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 14, 2020 23:20Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa hakuna mbadala wowote wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA
Jan 12, 2020 08:21Umoja wa Ulaya, ambao Mkuu wake wa Siasa zake za Nje wakati yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA alikuwa ni Federica Mogherini, aliyeongoza timu ya umoja huo katika mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi kufikiwa mwafaka kati ya Tehran na kundi la 5+1, unajulikana kama moja ya waungaji mkono wa JCPOA.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa
Jan 11, 2020 04:43Katika zama za utawala wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani imekuwa ikifuatilia sera za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran na katika fremu hiyo mnamo Mei 8 2018, Washington ilitangaza kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na baada ya hapo ikaweka vikwazo shadidi zaidi dhidi ya Iran. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijafikia malengo yaliyokusudiwa, Marekani inasisitiza kuendeleza sera yake ya kushadidisha vikwazo.
-
UK: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 11, 2020 04:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza alisema jana Ijumaa baada ya kikao cha dharura cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji kwamba, nchi yake pamoja na Umoja wa Ulaya wataendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.