-
Akthari ya watu wa Ulaya wanaunga mkono jitihada za kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Sep 16, 2019 00:06Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliowajumuisha raia wa nchi 14 wanachama wa Umoja wa Ulaya yanaonyesha kuwa akthari ya wananchi hao wanaunga mkono juhudi za kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marekani: Sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran zitaendelea
Sep 13, 2019 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema, mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yataendelea.
-
Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA
Sep 10, 2019 02:44Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ( Ujerumani, Ufaransa na Uingrereza) zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 zimekuwa zikisisitiza mara kwa mara udharura wa kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), lakini hazijaweza kuwasilisha rekodi nzuri ya utendaji wao katika uwanja huo.
-
JCPOA katika barabara ya upande mmoja ya Iran kupunguza uwajibikaji wake
Sep 09, 2019 05:27Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amesema: "Mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) si barabara ya upande mmoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua maamuzi yanayofaa wakati utakapowadia."
-
Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video
Sep 07, 2019 08:28Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, awamu ya tatu ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA ilianza jana Ijumaa kwa amri ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Corbyn la kukabiliana na muungano wa Netanyahu na Trump dhidi ya JCPOA
Sep 07, 2019 01:50Tangu yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwaka 2015, Marekani na utawala wa Kizayuni zimekuwa zikisisitiza kila mara kuwa zinayapinga makubaliano hayo na kutaka yavunjwe. Na katika hatua iliyolenga kufikia lengo hilo, mwezi Mei 2018, Rais Donald Trump wa Marekani alitangza kujitoa nchi yake kwenye makubaliano hayo na kuanza kutekeleza vikwazo vikali ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran.
-
Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran
Sep 05, 2019 21:55Rais Donald Trump wa Marekani alisikika mara kadha wa kadha akiyakosoa vikali makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hatimaye mnamo tarehe 8 Mei, 2018 akatangaza rasmi kujitoa nchi yake katika makubaliano hayo. Kilichofuata baada ya hapo, ilikuwa ni kutekelezwa na serikali ya Trump katika awamu mbili tofauti vikwazo vikali dhidi ya Iran sambamba na kupinga mpango wowote wa kuyalinda makubaliano hayo ya nyuklia.
-
Waziri Mkuu wa Israel apayuka baada ya Iran kutangaza utekelezaji wa awamu ya tatu ya kutoheshimu JCPOA
Sep 05, 2019 09:10Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameshindwa kuficha hamaki zake na ameamua kupayuka baada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutangaza kuanza utekelezaji wa awamu ya tatu ya kutoheshimu ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kutekelezwa awamu ya tatu; radiamali ya Iran ya kuchezea fursa madola ya Ulaya
Sep 05, 2019 03:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa agizo la kutekelezwa hatua ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makuubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji katika JCPOA itaanza kesho Ijumaa
Sep 05, 2019 00:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameatangaza kuwa, awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa kesho Ijumaa.