-
Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya
Mar 09, 2019 03:46Jarida moja la nchini Marekani limemlaumu vikali rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa siasa zake mbovu za kimataifa na kusema kuwa, Trump amepelekea Marekani itengwe na nchi za Ulaya.
-
Tume ya pamoja ya JCPOA: Kuondolewa vikwazo, ni sehemu ya makubaliano na Iran
Mar 07, 2019 03:38Tume ya Pamoja ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA imetoa taarifa mwishoni mwa kikao cha 11 mjini Vienna, Austria ikisema kuwa kuondolewa vikwazo ambavyo vinaweza kuboresha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na nchi hii, ni sehemu ya uhai wa mapatano hayo.
-
Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani
Mar 06, 2019 23:22Hata kama makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, ni mapatano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani ilichukua uamuazi wa upande mmoja wa kujitoa katika mapatano hayo tarehe 8 mwezi Mei mwaka uliopita.
-
Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia
Mar 03, 2019 23:09Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.
-
Marekani yaendeleza propaganda chafu dhidi ya Iran
Mar 02, 2019 04:36Makamu wa Rais wa Marekani amekariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, serikali ya Washington itaendeleza misimamo na hatua zake dhidi ya Iran.
-
Zarif: Nchi za Magharibi si wachukua maamuzi wakuu
Feb 24, 2019 10:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema nchi za Magharibi zimehatarisha usalama wa Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) kupitia mauzo ya silaha kwa nchi za Kiarabu. Amesema kuwa silaha hizo za nchi za Magharibi zimechangia kuvuruga usalama wa kieneo.
-
IAEA yathibitisha tena Iran inafungamana na mapatano ya nyuklia
Feb 23, 2019 01:14Wakala wa Kimataifa wa Nishati Atomiki, IAEA kwa mara ya 14 sasa umethibitisha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafungamana kikamilifu na mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekeezaji, JCPOA, yaliyofikiwa baina ya Iran na madola sita makubwa duniani 2015.
-
Waziri wa Mambo ya Uingereza: Kulindwa JCPOA ni nukta muhimu katika uhusiano wa nchi hiyo na Ujerumani
Feb 20, 2019 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JPOA ni moja ya nukta muhimu katika uhusiano kati ya London na Berlin baada ya Uingereza kuondoka ndani ya Umoja wa Ulaya.
-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.
-
Umoja wa Ulaya wapinga takwa la Marekani la kujiondoa mapatano ya nyuklia ya Iran
Feb 16, 2019 04:37Umoja wa Ulaya umepinga ombi la Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ambaye amezitaka nchi za Ulaya zifuate nyayo za Marekani na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran kwa lengo la "kuitenga" Jamhuri ya Kiislamu.