Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 12, 2019 00:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, Umoja wa Ulaya haujafaulu mtihani wa kuonyesha kuwa uko huru kivitendo katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Jan 08, 2019 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Tehran inafanya mazungumzo na washirika wake wa jadi kwa ajili ya kudhamini maslahi ya watu wa Iran.

  • Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Jan 02, 2019 11:47

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema Marekani haiwezi na haipaswi kuitwisha EU sera zake na kwamba umoja huo wenye nchi wanachama 28 hautairuhusu Washington iufanyie maamuzi juu ya uhusiano wake wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Dec 31, 2018 11:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.

  • Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video

    Zarif: Vikwazo vya Marekani kamwe haviwezi kubadilisha siasa za Iran + Video

    Dec 16, 2018 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani dhidi ya nchi yake vitashindwa tu na kamwe havitoweza kubadilisha siasa za Tehran.

  • Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran

    Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran

    Dec 13, 2018 23:12

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei mwaka huu wa 2018, kila mara imekuwa ikijaribu kufanya kila njia kuzishusisha shughuli za nyuklia za Iran na masuala mengine, ili kutetea na kuhalalisha uamuzi wake wa kujitoa kwenye makubaliano hayo.

  • Umoja wa Mataifa: Jamii ya kimataifa ina wajibu wa kulinda JCPOA

    Umoja wa Mataifa: Jamii ya kimataifa ina wajibu wa kulinda JCPOA

    Dec 12, 2018 03:00

    Kwa mara nyingine tena Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanapaswa kulindwa na wadau wote katika eneo na jamii ya kimataifa.

  • Sisitizo la Mogherini la kuzinduliwa hivi karibuni mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya

    Sisitizo la Mogherini la kuzinduliwa hivi karibuni mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya

    Dec 11, 2018 21:43

    Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) Mei 8 mwaka huu, kulikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanachama wengine ya JCPOA katika kalibu ya kundi la 4+1.

  • Mogherini: EU kuzindua mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya karibuni

    Mogherini: EU kuzindua mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya karibuni

    Dec 11, 2018 00:04

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV utazinduliwa ndani ya siku chache zijazo.

  • Qassemi:

    Qassemi: "Mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya" unafuatiliwa

    Dec 03, 2018 12:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV ungali unaendelea kufuatiliwa; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshabainisha wazi mategemeo iliyonayo katika suala hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS