-
John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA
Sep 15, 2018 20:42Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani sambamba na kutetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, amekiri kwamba, kwa kuzingatia ukiukaji wa ahadi wa Marekani, hakutofanyika mazungumzo yoyote kati ya Iran na Washington.
-
Zarif: Nchi za Ulaya ziamue ima kusimama kidete au kusalimu amri mbele ya Marekani
Sep 15, 2018 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zinapaswa kuamua ima zisimame kidete au zisalimu amri mbele ya Marekani. Aidha amesema nchi za Ulaya zinapaswa kufidia hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatnao ya nyuklia ya Iran, JCPOA.
-
Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Sep 15, 2018 03:29Umoja wa Ulaya (EU), ambao nchi zake tatu muhimu, yaani Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ni wanachama wa kundi 5+1, mbali kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) umesisitiza kukabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuyavunja makubaliano hayo; na katika kufanya hivyo umechukua hatua nyengine mpya kwa madhumuni ya kuyalinda makubaliano hayo ya JCPOA.
-
Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini
Sep 13, 2018 21:56Mgogoro wa Rasi ya Korea ni moja ya masuala ambayo Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyapa umuhimu mkubwa, tangu alipoingia madarakani nchini humo.
-
Russia yaitaka IAEA kutoa dhamana ya utekelezaji wa JCPOA
Sep 13, 2018 02:52Russia imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) itoe dhamani ya utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran
Sep 11, 2018 03:02Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani inatekeleza sera zake dhidi ya Iran kwa kutumia mabavu, ubabe na vitisho.
-
John Kerry: Trump amethibitisha kivitendo maneno ya wapinzani wa JCPOA ndani ya Iran
Sep 10, 2018 02:57Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani kwa mara nyingine tena amekosoa misimamo ya serikali ya rais wa hivi sasa wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Iran na kuionya Ikulu ya nchi hiyo White House kuhusu matokeo mabaya ya siasa hizo.
-
Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA
Sep 09, 2018 11:33Mkurugenzi wa Sera za Kuzuia Silaha za Maangamizi katika Shirika la Kudhibiti Silaha la Marekani amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamuweke kiti moto Rais Donald Trump wa Marekani wakati atakapohudhuria kikao cha baraza hilo.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 03, 2018 22:04Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.
-
Larijani: Iran ina shaka na uwezo wa Ulaya wa kutekeleza ahadi zake kuhusu kadhia ya nyuklia
Sep 01, 2018 09:36Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya Iran kuwa na shaka kubwa juu ya uwezo wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na namna ya uchukuaji wao wa maamuzi lakini imekubali kutengwa muda maalumu wa mazungumzo kuhusu kadhia ya nyuklia ili kuweza kupima uwezo wao na fikra zao za kisiasa kwa ajili ya kutatua suala hilo.