Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Kwa mara nyingine Ujerumani yaihimiza Ulaya kuitenga Marekani katika mfumo wa fedha

    Kwa mara nyingine Ujerumani yaihimiza Ulaya kuitenga Marekani katika mfumo wa fedha

    Sep 01, 2018 02:53

    Kwa mara nyingine tena, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumiani amezihimiza nchi za Ulaya kutafuta njia za kuwa na mfumo wao wa kujitegemea wa kifedha kama njia ya kudumisha mapatano ya nyuklia na Iran yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.

  • IAEA yathibitisha kwa mara ya 12 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya JCPOA

    IAEA yathibitisha kwa mara ya 12 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya JCPOA

    Aug 30, 2018 23:23

    Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna, Austria amesema kuwa, kwa mara ya 12 mtawalia, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umethibitisha kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Rouhani: Wanachama wa JCPOA wanapaswa kutekeleza haraka mipango yao ya kulinda makubaliano hayo

    Rouhani: Wanachama wa JCPOA wanapaswa kutekeleza haraka mipango yao ya kulinda makubaliano hayo

    Aug 27, 2018 10:21

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ufaransa na kusema kuwa, kwa kutilia maanani hatua ya Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, nchi nyingine wanachama katika mapatano hayo zinapaswa kutekeleza mipango yao haraka na kwa uwazi kwa ajili ya kulinda makubaliano hayo.

  • Zarif: Viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia

    Zarif: Viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia

    Aug 26, 2018 03:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia huku wakifanya juhudi za kuzidisha mashinikizo ya kisaikolojia dhidi ya Wairani na washirika wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Makubaliano ya JCPOA yataendelea kutekelezwa bila ya Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Makubaliano ya JCPOA yataendelea kutekelezwa bila ya Marekani

    Aug 20, 2018 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani imekuwa mraibu wa uwekaji vikwazo na kusisitiza kwamba makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kutekelezwa hata bila ya kushiriki Marekani.

  • Russia, China zasisitiza kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran

    Russia, China zasisitiza kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran

    Aug 18, 2018 02:48

    Russia na China zimesistiza kuwa zitaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.

  • London yakataa matakwa ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran

    London yakataa matakwa ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran

    Aug 17, 2018 02:41

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imekataa wito wa Marekani wa kujiunga na Washington katika vikwazo vyake vipya dhidi ya Iran.

  • Tehran: Marekani inapaswa kuliomba radhi rasmi taifa la Iran

    Tehran: Marekani inapaswa kuliomba radhi rasmi taifa la Iran

    Aug 09, 2018 23:23

    Waziri wa Mambo wa Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuheshimu ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na iliombe radhi rasmi taifa la Iran.

  • Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Aug 07, 2018 10:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusu matamshi ya karibuni ya rais wa Marekani kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwamba: kutokana na sera za Marekani za kuendesha vita vikubwa vya kisaikolojia dhidi ya Iran hakuna dhamana wala imani yoyote juu ya serikali ya Marekani wala rais wa nchi hiyo.

  • Nchi za Ulaya zapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Nchi za Ulaya zapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Aug 07, 2018 10:06

    Nchi za Ulaya zimetangaza kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kutangaza kuunga mkono mapatano ya nyuklia maarufu kama JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS