Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jela

  • Mpinzani wa el Sisi katika uchaguzi ujao wa Misri atupwa katika jela ya kijeshi

    Mpinzani wa el Sisi katika uchaguzi ujao wa Misri atupwa katika jela ya kijeshi

    Jan 28, 2018 11:41

    Wakili wa mkuu wa zamani wa jeshi la Misri ambaye ametangaza kuchuana na Rais Abdul Fattah el Sisi katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo amesema kuwa, mteja wake emepelekwa katika jela ya kijeshi.

  • Hali ya kiongozi wa upinzani na kidini aliyemkosoa Bin Salman, yazidi kuwa mbaya jela Saudia

    Hali ya kiongozi wa upinzani na kidini aliyemkosoa Bin Salman, yazidi kuwa mbaya jela Saudia

    Jan 18, 2018 11:20

    Hali ya kimwili ya Salman al-Ouda, mmoja wa shakhsia wakubwa wa upinzani na kidini nchini Saudi Arabia ambaye miezi minne iliyopita, alitiwa mbaroni kwa amri ya Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, imeripotiwa kuendelea kuwa mbaya kila siku katika jela ya nchi hiyo.

  • Wafungwa wanawake wa Bahrain waanza mgomo wa kula

    Wafungwa wanawake wa Bahrain waanza mgomo wa kula

    Oct 05, 2017 10:53

    Wafungwa wanawake katika jela moja nchini Bahran wameanza mgomo wa kula, kulalamikia ukandamizaji na hatua ya hivi karibu ya watawala wa Aal-Khalifa ya kuwawekea vizuizi vya kutembelewa na jamaa zao.

  • Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Aug 28, 2017 10:29

    Duru za habari nchini Saudia zimeripoti kwamba, Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Aal Saud, mrithi wa kiti cha ufalme nchini humo anatumia jela za siri kuwafunga wanamfalme wengine wanaomuunga mkono Muhammad bin Nayef, mrithi wa kiti cha ufalme aliyefutwa kazi.

  • Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel

    Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel

    Aug 06, 2017 23:13

    Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina kimetangaza kuwa, watoto wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.

  • Mamia ya watu wasio na hatia wafariki dunia katika jela za Canada

    Mamia ya watu wasio na hatia wafariki dunia katika jela za Canada

    Aug 03, 2017 23:00

    Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, karibu watu 270 ambao yapata thuluthi mbili yao hawakuwa na kosa lolote la kisheria, wamefariki dunia katika jela za Canada katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

  • Jasusi mwingine wa Marekani atiwa mbaroni nchini Iran

    Jasusi mwingine wa Marekani atiwa mbaroni nchini Iran

    Jul 16, 2017 10:49

    Msemaji wa Chombo cha Mahakama cha Iran amesema kuwa, jasusi mmoja mwenye uraia wa nchi mbili ukiwemo wa Marekani ambaye aliingia nchini Iran kwa ajili ya kufanya ujasusi, ametiwa mbaroni na wizara ya usalama wa taifa ya Iran.

  • Wafungwa wa Bahrain katika jela ya Jaw wapaza sauti wakiomba msaada

    Wafungwa wa Bahrain katika jela ya Jaw wapaza sauti wakiomba msaada

    Jul 01, 2017 03:18

    Wafungwa waliopo katika jela ya Jaw nchini Bahrain wamewaomba raia wa nchi hiyo wawanusuru na dhulma na mateso wanaofanyiwa na watawala wa Aal Khalifa kufuatia siasa za ukandamizaji zinazotekelezwa kila uchao na utawala wa Bahrain.

  • Wafungwa 17 wauawa wakijaribu kutoroka jela, Papua Guinea

    Wafungwa 17 wauawa wakijaribu kutoroka jela, Papua Guinea

    May 15, 2017 03:10

    Wafungwa 17 wameuawa kwa kupigwa risasi na askari gereza walipokuwa katika harakati za kutoroka jela huko Papua New Guinea, nchi ndogo iliyoko kusini magharibi mwa bahari ya Pacific.

  • Gavana wa mji mkuu wa Indonesia aswekwa jela kwa kuuvunjia heshima Uislamu

    Gavana wa mji mkuu wa Indonesia aswekwa jela kwa kuuvunjia heshima Uislamu

    May 09, 2017 09:25

    Gavana wa Jakarta, mji mkuu wa Indonesia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kuuvunjia heshima na kuudhalilisha Uislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS