Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Marekani imewatorosha viongozi wa DAESH (ISIS) eneo la Deir ez-Zor, Syria

    Marekani imewatorosha viongozi wa DAESH (ISIS) eneo la Deir ez-Zor, Syria

    Sep 23, 2018 02:41

    Duru za kuaminika za Syria zimetangaza kuwa muungano wa kijeshi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na DAESH (ISIS) umewatorosha viongozi kadhaa wa kundi hilo la kigaidi na ukufurishaji katika eneo la Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.

  • Mazoezi ya pamoja ya anga ya SEPAH na Jeshi la Iran yaanza katika maji ya Ghuba ya Uajemi

    Mazoezi ya pamoja ya anga ya SEPAH na Jeshi la Iran yaanza katika maji ya Ghuba ya Uajemi

    Sep 21, 2018 07:46

    Kaimu Mkuu wa Uenezi wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Kujihami Kutakatifu mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya vikosi vya anga vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH (IRGC) na vya Jeshi yameanza katika maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.

  • Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon

    Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon

    Sep 12, 2018 01:19

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa uwezo wa makombora wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na nguvu yake ya kulenga kwa mapana katika maeneo mbalimbali ya Israel ni tishio kubwa sana.

  •  Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa uwezo wa majeshi ya Iran katika kukabiliana na adui

    Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa uwezo wa majeshi ya Iran katika kukabiliana na adui

    Sep 10, 2018 06:53

    Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika mahafali ya pamoja ya kuhitimu na kuapishwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya maafisa wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuashiria sera za shari na kiistikbari za kuibua machafuko na ukosefu wa usalama na kusisitiza kuwa:

  • Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib

    Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib

    Sep 04, 2018 02:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa suala kuu lilogubika kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Uturuki mjini Tehran lilikuwa kuhusiana na kukombolewa mkoa wa Idlib.

  • Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi

    Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi

    Aug 16, 2018 13:17

    Habari kutoka Syria zimeripoti kwamba, askari vamizi wa Marekani wanakusudia kujenga uwanja wao wa kijeshi katika eneo la al-Shaddadi la jimbo la Al-Hasakah nchini humo.

  • Mahdi al-Mashat akipongeza kikosi cha majini cha Yemen katika kupambana na wavamizi

    Mahdi al-Mashat akipongeza kikosi cha majini cha Yemen katika kupambana na wavamizi

    Jul 26, 2018 03:05

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa nchini Yemen Mahdi al-Mashat ametoa pongezi kwa kikosi cha majini cha jeshi la nchi hiyo katika kupambana na askari vamizi eneo la bandari ya Mocha na kuitaja operesheni hiyo kuwa ni mabadiliko katika njia za kupambana na wavamizi hao.

  • Jeshi la Yemen: Muungano vamizi wa Saudi Arabia umeshindwa kusonga mbele Al-Hudaydah

    Jeshi la Yemen: Muungano vamizi wa Saudi Arabia umeshindwa kusonga mbele Al-Hudaydah

    Jul 24, 2018 07:31

    Msemaji wa Jeshi la Yemen amekadhibisha tena habari za kusimama mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia eneo la magharibi mwa nchi na kusema kuwa, muungano huo wa Saudia na Imarati, umeshindwa kusonga mbele kwa namna yoyote katika eneo hilo.

  • Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel

    Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel

    Jul 24, 2018 03:23

    Sambamba na jeshi la Syria kuimarisha mzingiro dhidi ya makundi ya kigaidi kusini mwa nchi hiyo, makamanda wa makundi hayo na kupitia taa ya kijani ya utawala wa Kizayuni, wamekimbilia upande wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • UN: Jeshi la Mali liliua raia12 katika ulipizaji kisasi

    UN: Jeshi la Mali liliua raia12 katika ulipizaji kisasi

    Jun 27, 2018 14:20

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA kimesema wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika waliuawa raia 12 katika operesheni ya kulipiza kisasi mwezi uliopita, baada ya mwenzao kuuawa katika mazingira ya kutatanisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS