-
Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran
Jan 22, 2020 06:46Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba, madai yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba Iran ilikuwa na nia ya kushambulia balozi nne za Marekani yamewashangaza na kuwaacha bumbuazi hata washauri wake mwenyewe.
-
"Trump, Pompeo na Daesh pekee ndio wanaosherehekea kuuliwa Soleimani"
Jan 16, 2020 02:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS), Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo ndio pekee wanaosherehekea na kufurahia kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Sababu zinazoifanya ziara ya Amir wa Qatar nchini Iran kuwa na umuhimu mkubwa
Jan 15, 2020 06:13Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Jumapili iliyopita ya tarehe 12 Januari 2020, alifanya ziara rasmi hapa mjini Tehran. Katika ziara hiyo, Sheikh Tamim alionana na viongozi wa ngazi za juu kabisa wa Iran akiwemo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na Rais Hassan Rouhani.
-
Russia: Mauaji ya Jenerali Soleimani yanakiuka mipaka yote ya sheria na utu
Jan 15, 2020 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kitendo cha Marekani cha kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kinakiuka misingi na mipaka yote ya ubinadamu na sheria.
-
Kamisheni ya Bunge la Ujerumani: Kitendo cha Marekani cha kumuua Soleimani ni kuvunja sheria za kimataifa
Jan 15, 2020 07:37Wataalamu wa Huduma za Kielimu wa Bunge la Ujerumani wametoa ripoti maalumu na kusema kuwa, kitendo cha Marekani cha kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran ni kinyume cha sheria za kimataifa na wamepinga madai ya Trump ya kuhalalisha jinai hiyo.
-
Kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Jenerali Soleimani chafanyika Kodivaa
Jan 14, 2020 13:10Waislamu wa Ivory Coast wamefanya kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na mashahidi wenzake waliouawa hivi karibuni na askari magaidi wa Marekani nchini Iraq.
-
Nyigo mpya za ufafanuazi wa Nasrullah kuhusu sababu na matokeo ya kuuliwa kigaidi kiongozi wa muqawama
Jan 14, 2020 07:36Siku ya Jumapili Sayyid Hassan Nsrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon alizungumzia nyigo mpya za sababu na matokeo ya jinai za serikali ya kigaidi ya Marekani katika kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na watu wengine aliokuwa nao.
-
Syria: Taathira za kuuawa Shahidi Qassem Soleimani zitaendelea kwa miaka mingi
Jan 13, 2020 07:51Mshauri wa Kisiasa na Vyombo vya Habari wa Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kwamba taathira za kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC, zitaendelea kwa miaka mingi.
-
Hizbullah yasisitiza kuondoka wanajeshi wa Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 12, 2020 12:16Mwenyekiti wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuondoka wanajeshi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi kama jibu la kweli la mauaji ya kigaidi ya mashahidi Haj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wamuomboleza na kumuenzi shahidi Qassim Soleimani
Jan 11, 2020 13:44Shakhsia wa kisiasa, kiutamaduni na Waislamu nchini Afrika Kusini wamemkumbuka, kumuenzi na kumuomboleza Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).