-
Kamisheni ya Haki yaishtaki Marekani UN kwa mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 18, 2020 07:59Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London Uingereza imewasilisha malalamiko ya kuuliwa shahidi na Marekani, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC).
-
Hotuba za Kiongozi Muadhamu Katika Sala ya Ijumaa Tehran; ubainishaji wa nguvu na adhama ya Iran
Jan 18, 2020 07:53Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba zake za Sala ya Ijumaa wiki hii mjini Tehran, alisema: "Kushiriki kimuujiza taifa la Iran katika mazishi ya shahidi mtoharifu Qassem Soleimani na wenzake na pia jibu kali la IRGC lililotolewa kwa kushambulia kituo cha Ainul Assad cha Jeshi la Marekani (nchini Iraq) ni siku mbili ambazo zinaweza kutajwa kuwa Siku za Mwenyezi Mungu (Ayamullah). Siku hizi zimejaa somo na ibra na ni za kuainisha hatima."
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran limekuwa imara zaidi katika kukabiliana na njama na vikwazo vya Marekani
Jan 16, 2020 11:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inafuata njia ghalati kuhusu taifa la Iran. Ameongeza kuwa, taifa la Iran limezidi kuwa na nguvu na limekuwa imara zaidi mbele ya njama na vikwazo vya Marekani.
-
Serikali ya Trump inazidi kukwepa kutoa ripoti kuhusu mauaji ya Luteni Soleimani
Jan 16, 2020 11:21Televisheni moja ya Marekani imetangaza kuwa, hadi hivi sasa serikali ya Donald Trump inaendelea kukwepa kuwasilisha ripoti ya mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kwa Baraza la Congress la nchi hiiyo.
-
Hizbullah: Maelfu ya Maqassim Soleimani watalipiza kisasi cha damu yake
Jan 16, 2020 07:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametangaza kuwa, adui asijidanganye kwamba, kwa kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani njia ya mwanamapambano huyo haitaendelea, bali maelfu ya watu mfano wake watajitokeza kulipiza kisasi cha damu yake.
-
IRGC: Watu milioni 25 walishiriki katika shughuli ya mazishi ya Shahidi Qassem Soleimani
Jan 15, 2020 02:50Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: " Watu milioni 25 walishiriki katika shughuli ya mazishi na kuuaga mwili wa Shahidi Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC, katika miji ya Ahvaz, Mashhad, Tehran, Qom na Kerman nchini Iran."
-
Bwabwaja mpya za Trump kuhusiana na mauaji ya Luteni Jenerali Qassim Soleimani
Jan 15, 2020 02:48Januari 3 mwezi huu, Marekani ilichukua hatua ya kijinai na isiyo ya kisheria ya kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi ya Iraq pamoja na watu waliokuwa wamefuatana nao.
-
Kamisheni ya Bunge la Ujerumani: Kitendo cha Marekani cha kumuua Soleimani ni kuvunja sheria za kimataifa
Jan 15, 2020 07:37Wataalamu wa Huduma za Kielimu wa Bunge la Ujerumani wametoa ripoti maalumu na kusema kuwa, kitendo cha Marekani cha kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran ni kinyume cha sheria za kimataifa na wamepinga madai ya Trump ya kuhalalisha jinai hiyo.
-
Nyigo mpya za ufafanuazi wa Nasrullah kuhusu sababu na matokeo ya kuuliwa kigaidi kiongozi wa muqawama
Jan 14, 2020 07:36Siku ya Jumapili Sayyid Hassan Nsrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon alizungumzia nyigo mpya za sababu na matokeo ya jinai za serikali ya kigaidi ya Marekani katika kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na watu wengine aliokuwa nao.
-
Schiff: Trump amelidanganya taifa kwa ajili ya kuhalalisha mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 14, 2020 06:50Mwenyekiti wa Kamati ya Upelelezi ya Kongresi ya Marekani amesema kuwa, Rais wa nchi hiyo Donald Trump ametoa ripoti za uongo ili kuhalalisha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani.