-
Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani
Jan 14, 2020 04:28Tarehe 3 Januari 2020, Marekani ilifanya jinai na ugaidi mkubwa wa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Iraq.
-
Trump na madai ya kizandiki ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran
Jan 13, 2020 07:57Ijapokuwa tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 Marekani siku zote imekuwa ikiamiliana kiuadui na kiuhasama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, lakini Donald Trump, rais afriti aliyeko madarakani hivi sasa nchini humo, yeye ametia fora na kufurutu mpaka, kwa uadui ambao haujawahi kushuhudiwa, anaoifanyia Iran na wananchi wake.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa
Jan 11, 2020 08:13Katika zama za utawala wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani imekuwa ikifuatilia sera za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran na katika fremu hiyo mnamo Mei 8 2018, Washington ilitangaza kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na baada ya hapo ikaweka vikwazo shadidi zaidi dhidi ya Iran. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijafikia malengo yaliyokusudiwa, Marekani inasisitiza kuendeleza sera yake ya kushadidisha vikwazo.
-
Scott Ritter: Trump amelegeza msimamo kwa kuogopa jibu kali la Iran
Jan 11, 2020 04:51Scott Ritter, aliyewahi kuwa mkaguzi wa silaha wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kuachana na vitisho vyake alivyovitoa hapo kabla dhidi ya Iran kutokana na kuhofia jibu kali la Tehran.
-
Russia: Kumuua kigaidi Qassem Soleimani, ni utumiaji mabavu wa Marekani kinyume cha sheria
Jan 10, 2020 12:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ruusia amesema kuwa hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, ni dhihirisho la utumiaji mabavu kinyume cha sheria kunakofanywa na Marekani.
-
Hatibu wa sala ya Ijumaa Tehran: Qassem Soleimani alikuwa mratibu wa usalama
Jan 10, 2020 12:14Hatibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amemtaja shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mratibu wa usalama na amani.
-
Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis
Jan 10, 2020 08:11Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.
-
Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa na misimamo huru, usiburuzwe na Marekani
Jan 10, 2020 00:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahesabu ghalati na yenye madhara makubwa ya Marekani yanatokana na kushindwa nchi hiyo kuielewa vizuri Iran na eneo la Asia Magharibi. Amesisitiza kuwa, Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa huru na usikubali kuburuzwa na Marekani na kuifanya Iran ikate tamaa kikamilifu na umoja huo.
-
Newsweek: Wanajeshi 270 wa Marekani wameuawa katika mashambulio ya SEPAH
Jan 10, 2020 00:34Kwa mara ya kwanza toleo la mtandao la gazeti la kila wiki la Newsweek la Marekani limefichua kwamba, kwa uchache wanajeshi 270 wa nchi hiyo wameangamizwa katika shambulio la usiku wa kuamkia Jumatano lililofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika kambi mbili za Marekani za Ain al Asad na Erbil nchini Iraq.
-
Mwamko wa walimwengu na kuchanganyikiwa NATO na Marekani kuhusu Luteni Soleimani
Jan 10, 2020 00:32Radiamali na hisia zilizooneshwa na baadh iya viongozi wa nchi za Magharibi baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH kwa mara nyingine zimeonesha undumilakuwili wa viongozi wa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kupambana na magaidi.