-
Kadi nyekundu yatolewa kwa Israel kwenye mechi kati ya Osasuna na Real Madrid
Feb 16, 2025 09:26Mashabiki wa klabu ya Osasuna ya Uhispania wametoa wito wa kukomeshwa uhalifu wa utawala wa Israel huko Palestina katika mechi na mpira wa miguu iliyofanyika jana Jumamosi kati ya timu hiyo dhidi ya Real Madrid.
-
Gazeti maarufu la Guardian lajiondoa kwenye X kulalamikia hisia hasi na mielekeo ya ubaguzi
Nov 14, 2024 05:58Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limetangaza kuwa litaacha kuweka maandiko yake kwenye X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter.
-
Shirikisho la Soka la Iran likaribisha pendekezo la Wapalestina la kuwekewa vikwazo Shirikisho la soka la Israel
Mar 25, 2024 11:44Mkuu wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia barua Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), akikaribisha mpango uliopendekezwa wa Shirikisho la Soka la Palestina kuhusu kuwekewa vikwazo Shirikisho la Soka la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shirikisho la Soka la Iran laitaka FIFA kuipiga marufuku Israel katika michezo
Feb 11, 2024 04:20Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kusitisha shughuli zote za soka za utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na utawala huo kutenda jinai huko Gaza.
-
Kitendo cha al-Ittihad mjini Isfahan; kuchanganywa mechi ya mpira wa miguu na masuala ya kisiasa
Oct 04, 2023 06:11Katika kitendo kisicho cha uanamichezo siku ya Jumatatu, timu ya mpira wa miguu ya Saudi Arabia iliamua kutoingia kwenye uwanja wa Naqshe Jahan kwa ajili ya kuchuana na timu ya Sepahan ya mjini Isfahan.
-
Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka
Jun 30, 2023 07:39Mahakama Kuu ya Utawala nchini Ufaransa imetoa kibali kwa Shirikisho la Soka la nchi hiyo cha kupiga marufuku vazi la hijabu katika mashindano ya soka ya wanawake.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 26, 2023 01:48Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta
Apr 02, 2023 07:55Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Para-Asia 2018 mjini Jakarta ametoa medali yake kwa watu wa Indonesia ili kuunga mkono hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuzuia timu ya soka ya Israel kuingia mjini Jakarta.
-
Balozi wa Kenya Tehran akutana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Iran
Mar 26, 2023 02:30Balozi wa Kenya mjini Tehran amefka katika Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo amekutana na katibu mkuu wa shirikisho hilo kabla ya mechi ya kirafiki kati ya timu za soka za Iran na Kenya.
-
Messi ashinda tuzo ya mchezaji bora wa FIFA 2022 (FIFA The Best)
Feb 28, 2023 03:10Gwiji wa soka wa Argentina na timu ya PSG ya Ufaransa, Lionel Messi, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa FIFA 2022, na kuwapiku wapinzani wake wawili wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.