-
Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah
Oct 10, 2024 08:41Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina
Oct 03, 2024 11:00Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.
-
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ni ushahidi wa mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 30, 2024 02:25Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) amesema kuwa, jinai za kivita za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel katika mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuuawa mamia ya watu katika shambulio la Beirut ni ushahidi wa wazi wa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni.
-
Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa
Jul 17, 2024 11:03Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshikamano unaoonekana hivi sasa na kupungua mivutano katika safu za Waislamu ni katika mafanikio makubwa ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Hizbullah ya Lebanon yadungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni
Jun 02, 2024 03:10Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeidungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya anga ya Lebanon.
-
Utendaji wa Taasisi ya Jihadi ya Ujenzi kwa maneno ya Sayyid Hassan Nasrullah
Jul 28, 2019 07:25Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amezungumzia suala la kutimia mwaka wa 31 wa kuasisiwa taasis ya Jihad ya Ujenzi, ambapo amesema kuwa muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon umesimama imara katika nyanja zote kukabiliana na adui mvamizi.