-
Kufeli ngao ya makombora ya Israel kwamlazimu Netanyahu kuitisha kikao cha dharura
May 29, 2018 03:42Kufuatia kushindwa ngao ya makombora ya utawala haramu wa Israel kuzuia makombora yanayovurumishwa na muqawama kwenda ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ameitisha kikao cha dharura cha baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kujadili suala hilo.
-
Kikao cha majirani wa Libya nchini Algeria
May 22, 2018 22:15Nchi zinazopakana na Libya zimeitisha kikao huko Algeria kwa ajili ya kuchungua mgogoro wa nchi hiyo na kutafuta njia za kuyakutanisha pamoja makundi mbalimbali kwa ajili ya kuleta umoja wa kitaifa nchini Libya.
-
Kikao cha viongozi wa nchi za Amerika mjini Lima na njama za Washington dhidi ya Venezuela
Apr 15, 2018 08:58Katika kikao cha viongozi wa nchi za Amerika kilichofanyika mjini Lima nchini Peru, Michael Pence sambamba na kuashiria kwamba Marekani haitoendelea kufumbia macho matukio yanayojiri nchini Venezuela, amesisitiza juu ya kuendelezwa mashinikizo dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Msimamo wa viongozi wa EU dhidi ya Russia; kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Uingereza
Mar 24, 2018 02:43Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wameamua katika kikao chao walichofanya kwenye makao makuu ya umoja huo yaliyoko mjini Brussels kuchukua msimamo mmoja wa kuiunga mkono Uingereza dhidi ya Russia.
-
Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko Afghanistan
Feb 16, 2018 01:04Mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, nchi za eneo hili haziwezi kuamini mipango ya Marekani nchini Afghanistan, hususan juu ya madai ya viongozi wa Washington kwamba wanapambana na ugaidi na madawa ya kulevya.
-
Mkutano wa 30 wa AU, juhudi za kushinda migogoro ya Afrika
Jan 29, 2018 08:40Mkutano wa 30 wa Umoja wa Afrika (AU) unafanyika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kwa kaulimbiu ya "Ushindi katika Mapambano dhidi ya Ufisadi na Mageuzi Barani Afrika".
-
Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyo
Dec 19, 2017 23:05Juhudi za kieneo na kimataifa zenye lengo la kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Libya zinaendelea kushuhudiwa huku hatari ya kuenea ugaidi na ukosefu wa usalama ikizitishia pakubwa nchi za eneo la kaskazini mwa Afrika.
-
Huenda Baraza la Usalama la UN likakutana kesho kujadili uamuzi wa Trump dhidi ya Quds
Dec 16, 2017 04:41Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, kuna uwezekano kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la umoja huo kikafanyika hapo kesho kujadili rasimu ya azimio linalohusu uamuzi uliochukuwa na Marekani dhidi ya mji wa Baitul Muqaddas.
-
Palestina yaitisha mkutano wa OIC, Arab League Kujadili Tishio la Trump kwa Quds Tukufu
Dec 04, 2017 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Riad al-Maliki ametoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC kuitisha mikutano ya kujadili hatima ya Quds Tukufu.
-
Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 08:10Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.