-
Kiongozi Muadhamu alipongeza taifa kwa kushiriki kwa hamasa kubwa kumbukumbu za Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 18, 2018 12:29Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa hamasa, mshikamano na shauku kubwa katika maadhimisho ya miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi: Mashia na Masuni nchini wako bega kwa bega katika vipindi vigumu kabisa
Feb 13, 2018 13:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mbele ya ujahilia mamboleo pamoja na kuwepo vikwazo na njama zote za kijeshi na kiutamaduni za adui kunatokana na imani na kujitolea mhanga Wairani.
-
Kiongozi Muadhamu awapongeza Wairani kwa ushiriki mkubwa katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2018 01:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili usiku ametoa ujumbe na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Yawmullah 22 Bahman (11 Februari) ambayo ni siku ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati
Feb 01, 2018 07:50Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.
-
Kiongozi: Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo
Jan 30, 2018 04:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kuuawa watu wasio na hatia katika hujuma za hivi karibuni za kigaidi nchini Afganistan na kusema: "Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS (Daesh) ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo sambamba na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni."
-
Ayatullah Khatami: Adui anafanya njama za kulivunja moyo taifa la Iran
Jan 26, 2018 13:21Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa njama za maadui wa Uislamu sasa zimeelekezwa katika mitandao ya kijamii na wanafanya jitihada za kulivunja moyo na kulikosesha matumaini taifa la Iran.
-
Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds
Jan 18, 2018 10:56Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds Tukufu.
-
Kiongozi Muadhamu: "Ufidhuli mkubwa inaofanya Marekani" kuhusiana na Quds Tukufu hautafika popote
Jan 16, 2018 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani imekuwa ikifanya "ufidhuli mkubwa" kuhusu Quds Tukufu na kuongeza kuwa njama zake hizo hazitafika popote.
-
Ayatullah Khamenei atoa mkono wa pole kwa mnasaba wa kufariki dunia wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran
Jan 15, 2018 00:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa salamu za rambirambi kwa mnasaba wa tukio chungu la kuaga dunia makumi ya wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kiendawazimu wa Trump hautapita hivi hivi bila ya kupewa majibu
Jan 09, 2018 12:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.