-
Ayatullah Khamenei atoa mkono wa pole kwa mnasaba wa kufariki dunia wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran
Jan 15, 2018 00:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa salamu za rambirambi kwa mnasaba wa tukio chungu la kuaga dunia makumi ya wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kiendawazimu wa Trump hautapita hivi hivi bila ya kupewa majibu
Jan 09, 2018 12:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.
-
Kiongozi: Moyo ya kishujaa, kujitolea na imani ni kinga mbele ya uadui wa maadui
Jan 02, 2018 11:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matukio ya hivi karibuni na njama za maadui wanaotaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Kiislamu wa Iran na kusema: "kile ambacho kimemzuia adui kutekelelza uadui wake ni kuwepo moyo wa kishujaa, kujitolea na imani katika taifa."
-
Utambulisho Halisi wa Marekani kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Dec 28, 2017 01:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi katika mkutano na maafisa na wanachama wa Baraza la Kuhubiri Uislamu kutoka kote Iran aliashiria njama zisizo na kikomo za Marekani za kuvuruga na kuondoa matumaini katika taifa la Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni
Dec 27, 2017 12:23Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni.
-
Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni
Dec 06, 2017 22:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Bila shaka Palestina itakombolewa tu
Dec 06, 2017 11:05Ayatullah Ali Khamanei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezitaja Marekani na utawala haramu wa Israel kuwa Mafirauni wa zama na dunia ya leo.
-
Kiongozi Muadhamu: Sharti la mafanikio ni kuunganisha sayansi za jamii na misingi ya kidini
Nov 30, 2017 13:03Kongamano la Kimataifa la Qur'ani na Sayansi za Jamii (Humanities) limeanza leo katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran kwa kusomwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei.
-
Amiri Jeshi Mkuu: Vikosi vya Majini viendeleze harakati yake ya mwendo wa kasi
Nov 28, 2017 13:17Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema tarehe 7 Azar (28 Novemba) ambayo ni siku ya Jeshi la Majini ni siku ya fahari na heshima, na siku ya kuenzi kujitolea mhanga kwa jeshi hilo.
-
Kiongozi asisitiza kupatiwa makazi walioathiriwa na tetemeko la ardhi magharibi mwa Iran
Nov 20, 2017 10:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ameshiriki katika kikao cha kuchunguza matatizo ya waliokumbwa na tetemeko la ardhi magharibi mwa Iran na kusema kipaumeble cha kwanza ni kuwajengea waathirika nyumba na kukarabati maeneo yaliyoharibiwa.