Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Jan 07, 2023 06:55

    Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu ahudhuria maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)

    Kiongozi Muadhamu ahudhuria maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)

    Dec 26, 2022 23:24

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.

  • Kiongozi Muadhamu: Waliomuua mwanachuoni wa Kisunni wanataka kuwagawanya Wairani

    Kiongozi Muadhamu: Waliomuua mwanachuoni wa Kisunni wanataka kuwagawanya Wairani

    Dec 14, 2022 08:44

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani kitendo cha kutekwa nyara na kuuawa mwanachuoni wa Kisunni huko kusini mashariki mwa Iran na kusisitiza kuwa, watenda jinai waliotekeleza uhaini huo wanatumikia maslahi ya pande zinazopinga ustawi na umoja wa wananchi wa Iran.

  • Maendeleo ya kielimu na kisayansi ni miongoni mwa vijenzi muhimu zaidi vya nguvu za Iran ya Kiislamu

    Maendeleo ya kielimu na kisayansi ni miongoni mwa vijenzi muhimu zaidi vya nguvu za Iran ya Kiislamu

    Dec 07, 2022 05:15

    Miongoni mwa mambo inayojivunia Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni ukuaji wa kila uchao wa kielimu na kisayansi na jinsi taifa hili lilivyo amilifu katika nyuga za kisayansi, suala ambalo limethibitishwa mara kadhaa na duru za kimataifa.

  • Mihimili mitano muhimu katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika kikao na Waziri Mkuu wa Iraq

    Mihimili mitano muhimu katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika kikao na Waziri Mkuu wa Iraq

    Nov 30, 2022 03:38

    Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu mpya wa Iraq aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake kwa safari ya siku mbili humu nchini ambapo alimtembelea Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi Kiislamu, jana alasiri.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasambaratishwa

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasambaratishwa

    Nov 19, 2022 08:56

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lengo kuu la wachochezi wa machafuko ya hivi karibuni ni kuliingiza taifa la Iran katika medani na kuongeza kuwa: "Mchafuko hayo bila shaka yatakomeshwa na taifa kuendelea kusonga mbele kwa nguvu zaidi na ari mpya katika uwanja wa maendeleo ya nchi."

  • Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (SAW)

    Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (SAW)

    Oct 13, 2022 08:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la kuachiwa huru au kupunguziwa vifungo wafungwa karibu 2,000 wa Kiirani, kwa mnasaba wa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (SAW) na kumbukumu ya mazazi ya Imam wa Ja'afar Swadiq (AS).

  • Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir

    Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir

    Jul 17, 2022 23:15

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.

  • Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran zinatoa kipaumbele juu ya kuimarisha uhusiano na majirani

    Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran zinatoa kipaumbele juu ya kuimarisha uhusiano na majirani

    Jun 15, 2022 07:57

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano na mataifa jirani.

  • Kiongozi Muadhamu: Muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya Marekani

    Jun 11, 2022 22:57

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS