-
WHO: haiwezekani kutokomeza kabisa virusi vya Corona
May 07, 2023 06:59Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Afya Duniani anayehusika na Dharura za Kiafya ameeleza kuwa kuna vigezo maalumu sana na vya kipekee kwa ajili ya kutokomeza virusi vya corona na kwamba ni vigumu kutokomeza kabisa virusi hivyo.
-
WHO: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vinaongezeka, China inaongoza
Jan 28, 2023 11:49Shirika la Afya Duniani, (WHO) limesema idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 imeanza kuongezeka duniani tangu mwishoni mwa mwezi uliopita wa Desemba.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya ya dunia
Sep 22, 2022 02:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, viongozi wanaokutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita kwenye mkutano wa kila mwaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wanapaswa kukabiliana na migogoro, majanga ya mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka umaskini na ukosefu wa usawa, na washughulikie migawanyiko kati ya mataifa makubwa ambayo imekuwa mibaya zaidi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine.
-
Seneta John Kennedy: Kiwango cha kupendwa Biden kati ya Wamarekani ni sawa na kile kipindupindu
Jul 15, 2022 11:24Seneta John Kennedy amesema: Kiwango cha kupendwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo baina ya Wamarekani ni sawa na kile cha ugonjwa wa kipindupindi.
-
Waafghani wote walioko Iran wamepokea chanjo ya bure ya COVID-19
Apr 23, 2022 02:35Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema raia wote wa Afghanistan wanaoshi kama wakimbizi hapa nchini wamepigwa chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 bila malipo.
-
Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Afrika Kusini
Apr 22, 2022 07:55Afrika Kusini ambayo ilikuwa shwari kutokana na kupungua kwa maambukizi ya corona kwa kiasi fulani katika siku za karibuni imetangaza kukumbwa kwa mara nyingine tena na ongezeko la maambukizi ya corona nchini humo.
-
Kiwango cha maambukizi ya corona chapungua duniani kwa wiki ya tatu mtawalia
Apr 14, 2022 02:25Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 duniani kimepungua kwa kwa wiki ya tatu mfululizo hadi kufikia tarehe 10 Aprili.
-
Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Uingereza
Apr 06, 2022 11:14Idadi ya watu wanaougua ugonjwa wa UVIKO1-19 nchini Uingereza khususan wale wanaopatwa na maambukizi aina mpya ya kirusi cha corona cha Omicron inazidi kuongezeka.
-
Chanjo ya kwanza ya COVID-19 kwa njia ya pua duniani yasajiliwa Russia
Apr 02, 2022 07:50Wizara ya Afya ya Russia imesajili chanzo ya kwanza duniani ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kupitia puani.
-
Shirika la Afya Duniani laonya kuhusu mlipuko mpya wa corona
Mar 17, 2022 08:52Shirika la Afya Duniani limeonya kwamba kuondoa vizuizi vya kijamii, kupunguza uzingatiaji wa masuala ya afya ya umma na viwango vya chini vya chanjo vimesababisha ongezeko la idadi ya visa vya maambukizi ya Covid-19 duniani.