Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Marekani yasalimu amri mbele ya Korea Kaskazini, yakubali kumtenga Pompeo kwenye mazungumzo yake na Pyongyang

    Marekani yasalimu amri mbele ya Korea Kaskazini, yakubali kumtenga Pompeo kwenye mazungumzo yake na Pyongyang

    Apr 19, 2019 09:01

    Serikali ya Marekani kupitia Wizara ya Mambo ya nje ya nchi hiyo imelazimika kusalimu amri mbele ya matakwa ya Korea Kaskazini ikisema kuwa, Washington ipo tayari kuendelea na mazungumzo ya nyuklia na Korea Kaskazini hata bila ya kuwepo Mike Pompeo, Waziri wake wa Mambo ya Nje.

  • Majaribio mapya ya kombora la Korea Kaskazini; jibu la Marekani kutoheshimu mazungumzo

    Majaribio mapya ya kombora la Korea Kaskazini; jibu la Marekani kutoheshimu mazungumzo

    Apr 19, 2019 06:20

    Shirika Rasmi la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limetangaza kupitia taarifa kwamba nchi hiyo siku ya Jumatano lilifanyia majaribio kombora jipya la kitaktiki linaloongozwa kwa mbinu maalumu.

  • Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki

    Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki

    Apr 18, 2019 09:02

    Serikali ya Korea Kaskazini imefanyia majaribio kombora jipya la balestiki.

  • Korea Kaskazini yaipa Marekani muhula na kuitaka ibadili mienendo

    Korea Kaskazini yaipa Marekani muhula na kuitaka ibadili mienendo

    Apr 14, 2019 02:54

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ameonya kuwa, mazungumzo mengine kati yake na Rais Donald Trump wa Marekani yatafanyika tu iwapo Washington itabadilisha mienendo na misimamo yake.

  • Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini: Lazima mazungumzo kati ya Trump na Kim Jong-un yaendelee

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini: Lazima mazungumzo kati ya Trump na Kim Jong-un yaendelee

    Apr 12, 2019 03:26

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ametaka kuendelezwa mazungumzo kati ya Marekani na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua mzozo wa eneo la Rasi ya Korea.

  • Korea Kusini yaitahadharisha Marekani kwa njia isiyo ya moja kwa moja kabla ya mazungumzo ya nchi mbili

    Korea Kusini yaitahadharisha Marekani kwa njia isiyo ya moja kwa moja kabla ya mazungumzo ya nchi mbili

    Apr 06, 2019 02:57

    Mjumbe maalumu Korea Kusini katika Masuala ya Usalama na Amani ya Rasi ya Korea amesema kuwa, Korea Kaskazini haitasalimu amri mbele ya vikwazo.

  • Uhispania: Kuna uwezekano shambulizi la ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid lilifanywa na Marekani

    Uhispania: Kuna uwezekano shambulizi la ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid lilifanywa na Marekani

    Mar 11, 2019 04:51

    Vyombo vya habari nchini Uhispania vimetangaza kwamba, kuna uwezekano vyombo vya intelejensia vya Marekani vilihusika katika shambulizi la siku chache zilizopita dhidi ya ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid.

  • Trump atoa radiamali baada ya Korea Kaskazini kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora

    Trump atoa radiamali baada ya Korea Kaskazini kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora

    Mar 07, 2019 03:33

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, uamuzi wa Korea Kaskazini wa kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora, unazuia njia ya kuboresha uhusiano wa pande mbili.

  • Uamuzi wa Korea Kaskazini wa kutazama upya mazungumzo yake na Marekani

    Uamuzi wa Korea Kaskazini wa kutazama upya mazungumzo yake na Marekani

    Mar 03, 2019 08:03

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini Choe Son-hui, ameelezea uwezekano wa nchi yake kutazama upya mazungumzo yake ya nyuklia na Marekani.

  • Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Mar 01, 2019 10:26

    Licha ya majigambo na makelele mengi ya kipropaganda ya Donald Trump na madai yake ya kupata mafanikio makubwa katika kampeni yake ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini, lakini rais huyo wa Marekani mwenye majivuno mengi amefeli vibaya katika suala hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS