-
White House yakiri, mazungumzo ya Trump na Kim Jong-Un yamefeli
Feb 28, 2019 12:33Msemaji wa ikulu ya Rais wa Marekani, White House amesema mazungumzo ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un yamesitishwa ghafla na kabla ya wakati wake na amekiri kwamba, hakuna makubaliano ya aina yoyote yaliyofikiwa baina ya pande hizo mbili.
-
Mazungumzo ya Trump na Kim Jong-Un yafanyika Vietnam
Feb 27, 2019 12:51Mazungumzo ya siku ya kwanza ya Kim Jong-Un, Kiongozi wa Korea Kaskazini na rais wa Marekani, Donald Trump, yamefanyika mjini Hanoi, Vietnam.
-
Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho
Feb 21, 2019 04:14Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.
-
Ripoti ya siri ya UN: Korea Kaskazini inajizatiti kulinda nguvu zake za makombora na silaha za nyuklia
Feb 05, 2019 12:20Ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa, Korea Kaskazini inaendeleza shughuli zake za kijeshi za kulinda nguvu na uwezo wake wa makombora na silaha za nyuklia ili kuhakikisha haziwezi kuangamizwa kwa mashambulio ya kijeshi.
-
Korea Kaskazini yalaani vikali uingiliaji wa Marekani nchini Venezuela
Feb 04, 2019 10:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa inayolaani uungaji mkono wa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani kwa Juan Gerardo Guaidó kiongozi wa upinzani aliyejitangaza kuwa rais wa muda wa Venezuela na uingiliaji wa nchi hizo katika nchi hiyo na kusema kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa kuchupa mipaka wa sheria za kimataifa.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini inatakiwa kuharibu kikamilifu kituo kikuu cha silaha zake za nyuklia
Jan 25, 2019 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema kuwa, ili kudhibiti miradi yake ya nyuklia hususan wakati wa kujiri mkutano wa viongozi wa Washington na Pyongyang, Korea Kaskazini inatakiwa kuharibu kabisa kituo kikuu cha silaha zake za nyuklia na kadhalika iruhusu wakaguzi wa kimataifa kufika eneo hilo kwa ajili ya kuthibitisha suala hilo.
-
Muda wa kikao cha pili kati ya Trump na Kim Jong-un watangazwa
Jan 19, 2019 04:36Shirika la Habari la Korea Kusini, Yonhap limetangaza muda utakaofanyika kikao cha pili kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini kwamba itakuwa mwishoni mwa mwezi ujao.
-
Russia yakanusha madai ya Marekani kwamba imeipatia Korea Kaskazini teknolojia ya makombora
Jan 18, 2019 12:08Balozi wa Russia nchini Korea Kaskazini amekanusha tuhuma za viongozi wa Marekani dhidi ya nchi yake kwamba Moscow imeipatia Pyongyang teknolojia ya makombora na kuongeza kwamba, tuhuma hizo ni za kuudhi kama ambavyo hazina msingi wowote.
-
Rais Moon Jae-in: Kikao cha pili cha Trump na Kim Jong-un kitafanyika karibuni hivi
Jan 10, 2019 21:41Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, kikao cha pili cha viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini na pia safari ya Kim Jong-un mjini Seoul, itafanyika hivi karibuni.
-
Trump: Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini vitaendelea kutekelezwa
Jan 07, 2019 00:59Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza juu ya kuendelea kutekelezwa kikamilifu vikwazo vya nchi yake dhidi ya Korea Kaskazini na amesema kuwa, vikwazo hivyo vitaendelea kuwepo.