-
Marekani yaendelea kuisakama Korea Kaskazini, yamuwekea vikwazo anayeisaidia kununua mafuta
Nov 20, 2018 11:47Katika mwendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imemuwekea vikwazo mfanyabiashara mmoja wa Russia kwa tuhuma za kuidhaminia mafuta Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio silaha mpya na ya kisasa chini ya usimamizi wa Kim Jong-un
Nov 16, 2018 00:54Serikali ya Korea Kaskazini imefanyia majaribio kwa mafanikio, ya silaha ya 'kistratijia, mpya na ya kisasa' chini ya usimamizi wa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.
-
Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini
Nov 13, 2018 11:13Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imekadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani ya 'Kituo cha Utafiti wa Kimataifa na Kistratijia' juu ya kuendelea shughuli za makombora ya siri ya Korea Kaskazini.
-
Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili
Nov 11, 2018 09:16Vyombo vya habari vilivyo karibu na serikali ya Korea Kaskazini, vimekosoa mpango wa Marekani wa kuanzisha jopokazi maalumu la kusimamia uhusiano wa Korea mbili na pia kufanya maneva za kijeshi za pamoja baharini.
-
Facebook: Iran na Korea Kaskazini hazijahusika kuiba taarifa za watumiaji wa mtandao wetu
Oct 19, 2018 11:35Shirika la Mtandao wa Kijamii la Facebook limekadhibisha tuhuma kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Korea Kaskazini zimehusika kudukua taarifa za watumiaji wa mtandao huo.
-
Korea Kaskazini: Japan inakusudia kurejesha mfumo wa kijeshi katika eneo
Oct 18, 2018 04:34Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa azma ya Japan ya kuelekea kwenye mfumo wa kijeshi kwamba, kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo ni kurejesha kipindi kilichopita cha umwagaji damu.
-
Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!
Oct 06, 2018 22:56Watafiti kadhaa ya Marekani wamedai kwamba, uchunguzi wao umebaini kuwa Korea Kaskazini inaendelea na shughuli zake za nyuklia huku ikiilaumu Washington kuwa inapuuza kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili mwezi Juni mwaka huu.
-
Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini
Sep 29, 2018 21:56Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.
-
Matamshi ya Rais wa Korea Kusini kuhusu kuwa kitu kimoja mataifa mataifa mawili ya Korea Kaskazini na Kusini
Sep 29, 2018 21:53Rais wa Korea ya Kusini amezungumzia uhusiano wa Korea mbili na kusema kuwa nchi mbili hizo ni kitu kimoja na kwamba zina hamu ya kuona amani na uthabiti ukitawala katika Peninsula ya Korea.
-
Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja
Sep 28, 2018 00:46Serikali za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja mwaka huu.