-
Trump anajiandaa kukutana na Kim Jong-un, huku Russia ikiikosoa Marekani
Sep 22, 2018 23:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema kuwa, Rais wa nchi hiyo Donald Trump anajiandaa kwa mkutano wa pili na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini.
-
Marekani: Tupo tayari kuanza upya mazungumza na Korea Kaskazini
Sep 20, 2018 10:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, nchi yake imejiandaa kuanza haraka mazungumzo ya kutokomeza silaha za nyuklia za Korea Kaskazini na kwamba mazungumzo hayo yatakamilika ifikapo mwezi Januari 2021.
-
Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini
Sep 13, 2018 21:56Mgogoro wa Rasi ya Korea ni moja ya masuala ambayo Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyapa umuhimu mkubwa, tangu alipoingia madarakani nchini humo.
-
Marekani yaendelea kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini licha ya Pyongyang kutekeleza majukumu yake
Sep 07, 2018 03:08Katika kuendeleza hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, kwa mara nyingine Wizara ya Hazina ya Marekani imeiwekea vikwazo serikali ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini: Tutaendelea na mpango wa kuangamiza silaha za nyuklia
Sep 07, 2018 00:17Kwa mara nyingine Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kufungamana na majukumu yake ya kuangamiza silaha zake za nyuklia na kuimarisha usalama katika Rasi ya Korea.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani kwa miamala yake mibaya katika mazungumzo
Aug 29, 2018 10:20Serikali ya Korea Kaskazini imewaonya viongozi wa Marekani juu ya uwezekano wa kuvunjika mazungumzo kati ya pande mbili, kufuatia hatua ya Washington ya kumzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo kutembelea Pyongyang.
-
Hamu ya Korea Kaskazini kuboresha uhusiano wake na Japan
Aug 28, 2018 03:26Mwanzoni mwa mwezi huu, Korea Kaskazini ilimuachilia huru raia wa Japan aliyekamatwa na nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump
Aug 26, 2018 22:48Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.
-
IAEA: Korea ya Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia
Aug 21, 2018 10:47Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umetangaza kuwa hakuna kiashiria chochote kinachoonyesha kuwa shughuli za nyuklia za Korea ya Kaskazini zimesimamishwa.
-
Kim Jong-un: Nchi zinazotuwekea vikwazo zinachukua hatua za kutapatapa dhidi ya raia wetu
Aug 17, 2018 10:25Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekosoa vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi yake na kusema kuwa, nchi zinazoliwekea vikwazo taifa hilo zinachukua hatua za kutapatapa kwa ajili ya kuwaangamiza raia wa nchi hiyo.