Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Radiamali ya Korea Kaskazini kwa matamshi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Radiamali ya Korea Kaskazini kwa matamshi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Aug 12, 2018 22:16

    Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa msimamo wa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kadhia ya utokomezaji wa silaha za nyuklia za nchi hiyo.

  • Korea Kaskazini: Vikwazo vya Marekani dhidi yetu vinasimamisha utokomezaji wa silaha za nyuklia

    Korea Kaskazini: Vikwazo vya Marekani dhidi yetu vinasimamisha utokomezaji wa silaha za nyuklia

    Aug 10, 2018 12:41

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ikisema kuwa, mashinikizo ya Marekani kupitia njia ya kuiwekea vikwazo serikali ya Pyongyang, yanakwamisha maendeleo ya kutokomeza silaha za nyuklia katika peninsula ya Korea.

  • Korea Kaskazini yatupilia mbali takwa la Marekani la kuainisha muda wa kuangamiza silaha zake

    Korea Kaskazini yatupilia mbali takwa la Marekani la kuainisha muda wa kuangamiza silaha zake

    Aug 09, 2018 10:30

    Duru za habari nchini Korea Kaskazini zimetangaza kwamba serikali ya nchi hiyo imetupilia mbali takwa la Marekani la kuainishwa muda wa kuanza kupunguzwa kwa silaha za nyuklia za nchi hiyo.

  • Spika wa Bunge la Iran: Wamarekani hawatekelezi ahadi

    Spika wa Bunge la Iran: Wamarekani hawatekelezi ahadi

    Aug 09, 2018 03:30

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wakati wa mazungumzo huzungumza vizuri mno, lakini inapofikia wakati wa utekelezaji hawatekelezi hata ahadi moja waliyoahidi.

  • Rais Rouhani: Marekani haina muamana, haiheshimu ahadi yake yoyote

    Rais Rouhani: Marekani haina muamana, haiheshimu ahadi yake yoyote

    Aug 08, 2018 10:12

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, utendaji wa serikali ya Washington katika kipindi hiki chote ulikuwa kwa namna ambayo hii leo, Marekani inatambulika kama nchi isiyo na muamana na isiyotekeleza ahadi yakke yoyote.

  • Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia

    Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia

    Aug 06, 2018 08:29

    Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala la Rodong Sinmun, imesema kuwa, hatua ya kurefushwa mkataba wa nyuklia kati ya Marekani na Japan ni kitendo kilicho 'dhidi ya ubinaadamu na dhidi ya amani.'

  • Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini

    Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini

    Aug 05, 2018 20:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kuwa, Beijing itaisaidia Korea kaskazini katika kukuza uchumi na ustawi wa nchi hiyo.

  • Korea Kaskazini yapinga mpango wa Japan wa kuweka ngao ya makombora

    Korea Kaskazini yapinga mpango wa Japan wa kuweka ngao ya makombora

    Jul 30, 2018 00:09

    Serikali ya Korea Kaskazini im imekosoa hatua ya Japan ya kutaka kuweka ngao ya makombora ndani ya nchi hiyo na kuongeza kuwa Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan anakusudia kuibadili nchi yake iwe dola lenye nguvu za kijeshi.

  • Korea Kaskazini yaanza kubomoa kituo cha kurushia makombora cha Sohae

    Korea Kaskazini yaanza kubomoa kituo cha kurushia makombora cha Sohae

    Jul 24, 2018 02:48

    Duru za habari zimeripoti kwamba Korea Kaskazini imeanza kubomoa kituo cha kurushia makombora cha Sohae katika mji wa Pyongan.

  • Kuendelea siasa za mashinikizo ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Kuendelea siasa za mashinikizo ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 22, 2018 09:16

    Ikiwa ni karibu mwezi mmoja umepita tangu Rais Donald Trump na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini wakutane nchini Singapore, Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, kabla ya kujadiliwa suala la kuondolewa vikwazo dhidi ya Pyongyang, nchi hiyo inatakiwa ipige hatua za kivitendo na kwamba kabla ya hatua hizo kupigwa, mashinikizo zaidi dhidi ya Korea Kaskazini yataongezeka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS