-
Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Korea Kusini katika ikulu ya Sa'dabad
May 02, 2016 03:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asubuhi ya leo amempokea rasmi katika ikulu ya Sa'dabad Bi Park Geun-hye Rais wa Korea Kusini.
-
Washington Post: Marekani inajitayarisha kuishambulia Korea ya Kaskazini
Mar 07, 2016 12:48Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Marekani na Korea ya Kusini zinafanya mazoezi katika maneva yao pamoja kwa ajili ya kuvishambulia vituo vya nyuklia vya Korea ya Kaskazini.