-
Marekani na Korea Kusini zaendelea kuvutana kuhusu ongezeko la gharama za askari wa Kimarekani
May 02, 2020 01:34Ofisi ya Rais wa Korea Kusini imesisitiza kuwa hadi sasa hakujafikiwa mapatano yoyote kuhusiana na ongezeko la fedha za kudhamini kuendelea kuwepo askari wa Kimarekani nchini humo.
-
Korea Kusini yasema habari za ugonjwa wa Kim Jong-un ni za kubuni tu
Apr 30, 2020 02:37Wizara ya Umoja ya Korea Kusini ambayo ina jjukumu la kuratibu uhusiano wa Korea mbili, imesema kuwa habari zinazohusu ugonjwa wa Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ni za kubuni tu na zisizo na msingi.
-
Korea Kaskazini yafanya jaribio jengine la makombora
Mar 02, 2020 07:32Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa Korea Kaskazini imefanya jairbio jengine la makombora.
-
Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini: Corona imehatarisha uchumi wetu
Mar 02, 2020 00:18Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ambaye nchi yake ni mwathirika wa pili wa maambukizi ya virusi vya Corona baada ya China, amesema kuwa virusi hivyo vimehatarisha uchumi wake.
-
Mazungumzo ya Marekani na Korea Kusini kuhusu gharama za uwepo wa askari wa Kimarekani nchini humo yavunjika
Jan 17, 2020 02:50Kwa mara nyingine tena mazungumzo ya viongozi wa Marekani na Korea Kusini kuhusiana na utatuzi wa tofauti zinazohusu uchangiaji wa gharama za kuendelea kuwepo askari wa Marekani na zana za kijeshi za nchi hiyo ya Magharibi katika Rasi ya Korea, yamevunjika.
-
Ombi la China, Japan na Korea Kusini kwa Korea Kaskazini
Dec 26, 2019 01:10Viongozi wa China, Japan na Korea Kusini waliokutana kwa kikao maalumu cha pamoja kilichofanyika kusini mwa China, wametoa mwito mwishoni mwa kikao chao hicho wa kuitaka Korea Kaskazini iache kikamilifu kufanya majaribio ya makombora.
-
Jeshi la Korea Kusini: Tumejiandaa vilivyo kukabiliana na harakati tarajiwa za jeshi la Korea Kaskazini
Dec 25, 2019 16:33Jeshi la Korea Kusini limetoa taarifa likisema kuwa, nchi hiyo imejiandaa vilivyo kukabiliana na harakati zozote tarajiwa za jeshi la Korea Kaskazini.
-
Marekani yaizuia Korea Kusini kutuma vifaa vyake vya kitiba nchini Iran
Dec 15, 2019 01:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imezungumzia upinzani wa Marekani kuhusiana na kutumwa bidhaa za kibinaadamu kama vile madawa, chakula na vifaa vya tiba kwenda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani
Nov 17, 2019 13:27Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu
Nov 14, 2019 07:25Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo jipya kwa viongozi wa Marekani kwamba, iwapo nchi hiyo kwa kushirikiana na Korea Kusini zitafanya maneva ya kijeshi, basi Pyongyang itajibu hatua hizo za uhasama.