-
Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani
Nov 17, 2019 09:57Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu
Nov 14, 2019 03:55Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo jipya kwa viongozi wa Marekani kwamba, iwapo nchi hiyo kwa kushirikiana na Korea Kusini zitafanya maneva ya kijeshi, basi Pyongyang itajibu hatua hizo za uhasama.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Majaribio ya makombora ni 'onyo' kwa Marekani na Korea Kusini
Aug 07, 2019 23:29Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametangaza kuwa mlolongo wa majaribio ya makombora yaliyofanywa hivi karibuni na Pyongyang yametuma "onyo tosha" kwa mazoezi ya kijeshi ya pamoja yanayofanywa na Korea Kusini na Marekani.
-
Malengo ya safari ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia nchini Korea Kusini
Jun 27, 2019 21:56Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Jumatano tarehe 26 Juni aliwasili Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais Moon Jae-in wa nchi hiyo.
-
Iran na Korea Kusini zasisitizia kutatua matatizo ya kibenki kati yao
Jun 04, 2019 08:38Waziri wa Uchumi wa Korea Kusini amekutana na Gavana wa Benki Kuu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kuzidishwa uhusiano wa pande mbili na kufanya jitihada zaidi kwa ajili ya kutatua matatizo ya kibenki.
-
Mataifa yenye uchumi mkubwa Asia, yapinga siasa za upande mmoja za Marekani
May 03, 2019 00:07Nchi za China, Japan na Korea Kusini ambazo zinajulikana kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumii barani Asia, zimetangaza kupinga siasa mbovu za upande mmoja za Marekani katika nyuga za kimataifa.
-
Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini
Nov 13, 2018 11:13Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imekadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani ya 'Kituo cha Utafiti wa Kimataifa na Kistratijia' juu ya kuendelea shughuli za makombora ya siri ya Korea Kaskazini.
-
Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili
Nov 11, 2018 09:16Vyombo vya habari vilivyo karibu na serikali ya Korea Kaskazini, vimekosoa mpango wa Marekani wa kuanzisha jopokazi maalumu la kusimamia uhusiano wa Korea mbili na pia kufanya maneva za kijeshi za pamoja baharini.
-
Korea Kusini yasisitiza kupanua ushirikiano wake na Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Nov 10, 2018 04:28Balozi wa Korea Kusini nchini Iran ameelezea azma ya nchi yake ya kulinda na kupanua ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hii.
-
Korea Kusini yamwomba Kiongozi wa Korea Kaskazini aitembelee nchi hiyo kabla ya mwisho wa mwaka huu
Oct 27, 2018 09:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema ana matumaini kwamba hadi mwishoni mwa mwaka huu, mji mkuu wa nchi hiyo Seoul utakuwa mwenyeji wa Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini.