-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 11, 2018 23:11Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja
Sep 28, 2018 00:46Serikali za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja mwaka huu.
-
Upinzani wa baraza la wawakilishi la Marekani juu ya kuondoka askari wa nchi hiyo Korea Kusini
Jul 30, 2018 00:08Baraza la Wawakilishi la Marekani, limekataa kupunguzwa na kuondolewa askari wa nchi hiyo walioko nchini Korea Kusini.
-
Trump afuta ratiba ya maneva ya kijeshi na Korea Kusini
Jul 07, 2018 09:18Rais Donald Trump wa Marekani amefuta ratiba ya maneva ya kijeshi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kati ya jeshi la Marekani na Korea Kusini kutokana na gharama.
-
Korea Kusini: Tutaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jul 06, 2018 03:39Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini amesema kuwa, nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Tehran.
-
Kufunguliwa kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani nchini Korea Kusini
Jul 01, 2018 06:56Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza azma ya kutaka kupunguza askari wa nchi hiyo katika eneo la Peninsula ya Korea, serikali ya Washington imefungua kambi kubwa zaidi ya kijeshi duniani karibu na Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini.
-
Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma
May 17, 2018 23:23Kufuatia onyo kali la Korea Kaskazini la kutaka kuvunja kikao tarajiwa kati ya kiongozi wa nchi hiyo na Rais wa Marekani hapo tarehe 12 Juni mwaka huu, hatimaye Washington imelazimika kutangaza kwamba ndege za kivita zenye kubeba mabomu ya nyuklia hazitashirki katika maneva ya pamoja ya anga ya nchi hiyo na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani
May 16, 2018 02:49Korea Kaskazini imetishia kufuta mkutano kati ya kiongozi wake, Kim Jong-un na Rais Donald Trump wa Marekani, kutokana na kile inachodai kuwa ni chokochoko za Washington na Korea Kusini dhidi yake.
-
Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta
May 14, 2018 09:29Serikali ya Korea Kusini sambamba na kukanusha madai ya Japan kwamba, inatuma mafuta kwenda Korea Kaskazini kwa siri, imesema kuwa Seoul imefungamana vilivyo na vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Pyongyang.
-
Bolton: Marekani haitapunguza wanajeshi wake Korea ya Kusini
May 04, 2018 23:34John Bolton Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajaiomba Pentagon kuhusu njia mbadala zinazoweza kutekelezwa mkabala na kupunguza wanajeshi wa Marekani walioko Korea ya Kusini.