Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kusini

  • Iran yazipongeza Korea 2, yaonya juu ya uchochezi wa US

    Iran yazipongeza Korea 2, yaonya juu ya uchochezi wa US

    Apr 28, 2018 07:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza jitihada za viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini za kutaka kupunguza taharuki katika Peninsula ya Korea sanjari na kuufanya wa kawaida uhusiano wao uliokuwa umevunjika kwa miongo kadhaa.

  • Viongozi wa Korea mbili wakutana katika tukio la kihistoria

    Viongozi wa Korea mbili wakutana katika tukio la kihistoria

    Apr 27, 2018 04:29

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un na mwenzake wa Korea Kusini, Moon Jae-in wamekutana na kufanya mazungumzo mapema leo Ijumaa katika kijiji cha Panmunjom kwenye eneo la mpaka wa nchi hizo mbili la Demilitarized. Mazungumzo haya yanatajwa kuwa ya kihistoria.

  • Korea Kusini yasitisha programu ya kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini

    Korea Kusini yasitisha programu ya kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini

    Apr 24, 2018 07:29

    Serikali ya Korea Kusini imetangaza kusimamisha programu ya kueneza propaganda mbaya dhidi ya jirani yake Korea Kaskazini.

  • Kukaribisha Korea Kusini hatua ya kusimamishwa miradi ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Kukaribisha Korea Kusini hatua ya kusimamishwa miradi ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Apr 22, 2018 11:28

    Serikali ya Korea Kusini imekaribisha uamuzi wa kiongozi wa Korea Kaskazini, wa kusimamisha majaribio ya silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya nchi hiyo.

  • Viongozi wa Korea mbili wafungua njia ya mawasiliano ya moja kwa moja kati yao

    Viongozi wa Korea mbili wafungua njia ya mawasiliano ya moja kwa moja kati yao

    Apr 20, 2018 14:01

    Msemaji wa Ikulu ya Rais nchini Korea Kusini, ametangaza habari ya kufunguliwa njia ya moja kwa moja ya mawasiliano kati ya Rais Moon Jae-in na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.

  • Korea Kusini nayo yajiunga na China katika vita vya kibiashara dhidi ya Marekani

    Korea Kusini nayo yajiunga na China katika vita vya kibiashara dhidi ya Marekani

    Apr 08, 2018 02:52

    Wizara ya Biashara, Viwanda na Nishati ya Korea Kusini imeungana na China katika vita vya kibiashara dhidi ya Marekani kwa kuziwekea ushuru mpya wa forodha biashara kadhaa za Marekani.

  • Rais wa zamani wa Korea Kusini afungwa miaka 24 jela kwa ufisadi

    Rais wa zamani wa Korea Kusini afungwa miaka 24 jela kwa ufisadi

    Apr 06, 2018 14:00

    Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu kifungo cha miaka 24 jela, rais wa nchi hiyo aliyeuzuliwa Park Geun-hye, baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi wa kifedha iliyokuwa ikimkabili.

  • Korea Kaskazini yaafiki kufanyika mazungumzo ya ngazi ya juu na Korea Kusini

    Korea Kaskazini yaafiki kufanyika mazungumzo ya ngazi ya juu na Korea Kusini

    Mar 24, 2018 14:35

    Wizara ya Umoja ya Korea Kusini, imetangaza kuwa serikali ya Korea Kaskazini imekubali kufanyika mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya nchi mbili siku chache zijazo.

  • Pande tatu za Marekani, Japan na K/Kusini zafanya mazungumzo kuhusu K/Kaskazini

    Pande tatu za Marekani, Japan na K/Kusini zafanya mazungumzo kuhusu K/Kaskazini

    Mar 20, 2018 04:19

    Washauri wa ngazi ya juu wa kiusalama wa nchi tatu za Marekani, Korea Kusini na Japan, wameanza kikao cha siku mbili ambacho kitajikita katika kuchunguza namna ya kuliepusha eneo la Korea na silaha za nyuklia.

  • Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Mar 09, 2018 06:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kukubali kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un mwezi Mei mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS