-
Kim Jong-un ataka kupanuliwa mahusiano na Korea Kusini haraka
Mar 06, 2018 17:10Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini sambamba na kufurahishwa na hatua ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ya kumtuma mjumbe wake maalumu mjini Pyongyang, ametaka kuboreshwa haraka mahusiano ya nchi mbili.
-
Mjumbe wa Rais wa Korea Kusini mjini Pyongyang aanza safari kuimarisha mahusiano zaidi
Mar 05, 2018 08:23Mjumbe maalumu wa Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amefanya safari nchini Korea Kaskazini ambapo pia amesema kuwa akiwa Pyongyang atajadiliana na viongozi wa nchi hiyo kuhusiana na masuala ya silaha za nyuklia.
-
Huenda rais wa zamani wa Korea Kusini akafungwa miaka 30 jela
Feb 28, 2018 01:32Mwendesha mashtaka wa Korea Kusini ametaka kufungwa kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa rais wa nchi hiyo Bi Park Geun-hye kutokana ufisadi wa kifedha na kisiasa wakati alipokuwa rais wa nchi hiyo.
-
Korea Kusini yakiri kushindwa stratijia za pamoja kati yake na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Feb 24, 2018 08:04Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amekiri kufeli stratijia za Washington na Seoul kwa ajili ya kuivua silaha za nyuklia Korea Kaskazini kwa kipindi cha miakka 25 iliyopita.
-
Korea Kusini: Baada ya michuano ya Olimpiki, tutajikita na mazungumzo na Pyongyang
Feb 22, 2018 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema kuwa, baada ya kumalizika michuano ya sasa ya msimu wa baridi kali inayoendelea huko Pyeongchang, Korea Kusini, Seoul itajikita katika kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua maudhui ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Wakorea Kusini wanataka kufanyika mazungumzo kati ya Rais Moon Jae-in na Kim Jong-un
Feb 16, 2018 04:38Uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Korea Kusini unaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 60 ya raia wa nchi hiyo wanataka kufanyike mazungumzo ya amani kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa Korea mbili.
-
Rais Moon Jae-in: Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Feb 15, 2018 04:03Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, serikali ya Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro uliopo.
-
Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea
Feb 11, 2018 04:43Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.
-
Vita dhidi ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki, Korea Kusini!
Feb 10, 2018 16:35Vita na hujuma dhidi ya Uislamu inaonekana sasa kushamiri zaidi na kuingia katika michezo ya kimataifa.
-
Korea Kaskazini: Maafisa wetu walioenda Korea Kusini hawatokutana na viongozi wa US
Feb 08, 2018 14:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema kuwa, viongozi wa nchi hiyo waliofanya safari nchini Korea Kusini kwa ajili ya kushiriki katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi, kamwe hawatokutana na viongozi wa Marekani.