-
Hilali Nyekundu ya Palestina: Ripoti ya Israel ya mauaji ya wahudumu wa tiba 'imejaa uwongo'
Apr 21, 2025 07:15Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina limekanusha vikali ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mauaji liliyofanya mwezi uliopita ya zaidi ya wafanyakazi 15 wahudumu wa sekta ya tiba huko Ghaza, ambayo utawala huo umedai waliuawa kimakosa.
-
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Apr 03, 2025 11:37Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza
Mar 08, 2025 12:54Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali
Feb 25, 2025 10:59Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuzuiwa kuingizwa misaada ya kibinadamu ikiwemo ya vifaa vya huduma za tiba.
-
Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama
Jan 19, 2025 10:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi katika shambulio la kigaidi mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama ya Iran.
-
Kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Qassem Soleimani
Jan 03, 2025 11:51Shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimanim aliuawa tarehe 3 Januari 2020 kwa ndege ya kivita ya jeshi la kigaidi la Marekani akiwa safarini nchini Iraq kwa mwaliko rasmi wa waziri mkuu wa nchji hiyo. ****
-
Jeshi la Kizayuni lamuua Babu mtu wa Kipalestina aliyegusa nyoyo za walimwengu mitandaoni
Dec 17, 2024 06:05Shambulio la kinyama la makombora lililofanywa na jeshi la Kizayauni katika Ukanda wa Ghaza limemuua Khaled Nabhan, Mpalestina ambaye amefahamika sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na video iliyomuonyesha akibusu macho ya mjukuu wake aliyeuliwa na kumwita "roho ya roho yangu".
-
Israel yaishambulia Hospitali Ghaza mara kadhaa, yaua watu 30 kati ya waliokuwemo ndani
Dec 06, 2024 13:53Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia mara kadhaa hospitali ya Kamal Adwan na majengo kadhaa ya karibu ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 30 na kuwajeruhi wengine wengi.
-
Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma
Nov 10, 2024 10:01Kongamano la Kimataifa la Fikra za Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, limefanyika mjini Tehran kwa lengo la kuchunguza na kutambua mielekeo mbalimbali ya kifikra na kimaarifa ya shahidi huyo pamoja na nafasi yake ya kisiasa katika kukabiliana na kiburi cha Wazayuni, ambapo wataalamu na wanafikra kutoka nchi 13 wameshiriki.
-
Wanafunzi karibu elfu 12 wa Palestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza
Nov 06, 2024 02:30Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi karibu elfu 12 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Gaza tangu kuanza vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya eneo hilo Oktoba 7 mwaka jana hadi sasa.