-
HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi 'unyama na ufashisti' wa Israel
Jan 21, 2025 02:34Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hali za kiafya za wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa kutoka kwenye magereza ya Israel zinaakisi "ukatili na ufashisti" wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)
Dec 23, 2022 12:02Mamia ya nyumba za wananchi wa Palestina zimebomolewa na utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2022 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Taifa la Palestina ndilo litakalopata ushindi wa mwisho mbele ya Israel
Jan 20, 2022 08:11Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, taifa la Palestina ndilo litakalopata ushindi wa mwisho mbele ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanajeshi wa Kizayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina
Jan 12, 2022 15:46Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba 11 za raia wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Radiamali ya EuroMed Rights kufuatia kubomolewa nyumba za Wapalestina
Aug 11, 2019 04:10Shirika la kutetea haki za binadamu la EuroMed Rights limekitaja kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kubomoa nyumba za Wapalestina kuwa ni maangamizi ya kizazi.
-
Kubomolewa nyumba za Wapalestina baada ya vita; jinai zisizo na kikomo za Israel
Jul 24, 2019 03:56Utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kushindwa katika vita vilivyodumu kwa muda wa siku mbili tu, hivi sasa umeanzisha duru mpya ya jinai zake dhidi ya Wapalestina kwa kubomoa nyumba za wananchi hao madhulumu.
-
Ubomoaji nyumba za Wapalestina uliofanywa na Israel walaaniwa kila pembe ya dunia
Jul 23, 2019 07:37Jumuiya za kimataifa, harakati na asasi mbali mbali za kutetea haki za binadamu duniani zimelaani jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina kusini mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
Waziri Mzayuni ataka kubomolewa nyumba za viongozi wa HAMAS
Oct 21, 2018 07:43Yisrael Katz, Waziri wa Usafiri wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kubomolewa nyumba za viongozi wa Harakati ya Mapambano ya kiislamu ya Palestina (HAMAS).
-
Utawala wa Kizayuni watoa muhula wa mwisho kwa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar; wawataka waondoke kijijini hapo
Sep 24, 2018 02:58Utawala wa Kizayuni umewapa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar katika mji wa Quds muda wa siku saba wawe wameondoka kijijini hapo.
-
Wasiwasi kuhusu harakati mpya za Israel za kukivunja kijiji kingine cha kiistratijia cha Wapalestina
Sep 14, 2018 06:39Hatua ya jeshi la utawala katili wa Israel ya kuzidi kukizingira kijiji cha kiistratijia cha Khan al Ahmar cha mashariki mwa mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, imezusha wasiwasi kuwa Israel imekusudia kukishambulia na kukikalia kwa mabavu kijiji hicho na kuwafanya wakimbizi wakazi wake.