-
Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao
Nov 14, 2019 04:33Baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukubali masharti ya wanamuqawama wa Palestina, makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Jihadul-Islami yamekubali pendekezo la Misri kwa ajili ya kusimamisha vita.
-
Nchi nane za dunia zaunga mkono tangazo la usitishaji vita la Answarullah ya Yemen
Sep 28, 2019 04:34Wajumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani, Kuwait na Sweden, zimeunga mkono tangazo la usitishaji vita la Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya
Aug 09, 2019 07:39Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umetoa wito wa kusitishwa mapigano kwa sababu za kibinadamu huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina
May 06, 2019 09:02Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa utawala wa Kizayuni hatimaye umekubali kusimamisha vita ulivyovianzisha huko Ukanda wa Ghaza kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Ansarullah: Hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya kusitisha mapigano al Hudaydah
Jan 09, 2019 03:33Afisa Uhusiano wa Nje wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, hakuna hatua yoyote ya kivitendo iliyochukuliwa kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya kusitisha mapigano katika mji wa bandari wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen na kubadlishana mateka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa mjini Stockholm, Sweden.
-
Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana
Dec 16, 2018 04:04Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ameukabidhi ujumbe wa San'a unaoshiriki kwenye mazungumzo ya amani ya nchi hiyo huko Sweden, tarehe ya kusimamisha vita katika mkoa wa al Hudaydah.
-
Salva Kiir atangaza usitishaji vita wa kudumu Sudan Kusini
Jun 29, 2018 23:38Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza usitishaji vita wa kudumu kote nchini humo.
-
Tangazo la Taliban la kusitisha vita na kupokewa vyema na serikali ya Afghanistan
Jun 10, 2018 22:11Serikali ya Afghanistan imetangaza kulikaribisha kwa mikono miwili tangazo lililotolewa na kundi la Taliban la kusitisha vita katika siku za Idul-Fitri.
-
Mogherini ataka kuandaliwa mazingira ya kusimamisha vita kote nchini Syria
Feb 28, 2018 12:58Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameziomba Russia, Iran na Uturuki ziandae mazingira ya kusimamisha mapigano huko Syria.
-
Rais wa Sudan arefusha muda wa usitishaji vita na waasi kwa miezi mitatu mingine
Jan 04, 2018 10:51Rais wa Sudan amerefusha usitishaji vita wa upande mmoja katika majimbo ya Blue Nile na Kordofan ya Kusini kwa miezi mitatu mingine.