-
Jibu la swali la leo; Kwa nini Ujerumani inataka kuongeza kwa kiasi kikubwa gharama zake za kijeshi?
Jul 11, 2025 08:18Katika hotuba yake kwa bunge la nchi hiyo Bundestag, Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, sambamba na kuunga mkono ongezeko kubwa la gharama na matumizi ya kijeshi, alisisitiza kuwa anataka kuligeuza jeshi la nchi yake kuwa taasisi ya kupigiwa mfano na inayoongoza katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 30, 2023 11:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.
-
Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine risasi zenye madini ya urani
Sep 03, 2023 08:49Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imeamua kwa mara ya kwanza kuipatia Ukraine risasi zenye madini ya urani hafifu. Risasi hizo ni sehemu ya shehena mpya ya silaha ambayo itatangazwa mnamo siku zijazo.
-
Jeshi la Nigeria: Boko Haram wanapatiwa silaha na Israel
Jan 04, 2017 04:28Duru za Nigeria zimefichua kuwa, kundi la wanamgambo wa kigaidi wa Boko Haram limekuwa likipata misaada ya silaha kutoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.