-
UN yatoa wito wa kurejeshwa operesheni za uokozi baada ya wahajiri 43 kupoteza maisha
Jan 21, 2021 04:11Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya uhamiaji IOM na lile la kuhudumia wakimbizi UNHCR yametoa wito kwa nchi kurejesha operesheni za kuwasaka na kuwaokoa watu kwenye bahari ya Mediterania baada ya wahajiri wengine 43 kupoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea siku ya Jumatatu katika pwani ya Libya.
-
Mkuu wa UN ataka askari ajinabi waondoke Libya haraka iwezekavyo
Jan 19, 2021 08:27Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka wanajeshi na mamluki wote wa nchi ajinabi waondoke nchini Libya haraka iwezekanavyo.
-
Uchaguzi wa kwanza nchini Libya mwaka huu wa 2021
Jan 09, 2021 07:52Sambamba na juhudi za kidiplomasia zinazofanyika kwa shabaha ya kupata ufumbuzi wa mgogoro wa Libya na hatimaye kufikia mapatano ya kudumu ya kisiasa, kumefanyika uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Russia: waungaji mkono wa Gaddafi wanapasa kushiriki mazungumzo ya Libya
Jan 04, 2021 22:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kuwa waungaji mkono wa dikteta wa zamani wa Libya wanapasa kushirikishwa katika mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.
-
Walibya wavamia makazi ya kijeshi ya Haftar, wataka kulipiza kisasi dhidi ya mamluki
Jan 01, 2021 09:55Wakazi wa mji wa Houn katika eneo la al Jufra huko katikati mwa Libya wamefanya maandamano wakitaka kulipiza kisasi kwa mamluki wa kampuni ya Wagner ya Russia na wapiganaji wa kundi la Janjaweed kutoka Sudan wanaolisaidia jeshi la jenerali muasi, Khalifa Haftar baada ya mauaji ya raia kadhaa wa eneo hilo.
-
Misri yaahidi kufungua tena ubalozi wake nchini Libya
Dec 28, 2020 04:40Serikali ya Misri imetangaza kuwa, karibuni hivi itafungua tena ubalozi wake katika nchi jirani ya Libya.
-
Uingiliaji wa kigeni nchini Libya; chanzo cha kuvunjika mazungumzo ya amani
Dec 17, 2020 23:19Uingiliaji wa nchi za nje katika masuala ya ndani ya Libya unaendelea katika hali ambayo duru mpya ya mazungumzo ya amani ya nchi hiyo imevunjika kutokana na tofauti zilizoibuka kuhusu namna ya kuwachagua wanachama wa baraza la mawaziri.
-
Baraza la Usalama lataka mamluki wote waondoke nchini Libya
Dec 17, 2020 01:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuondoka mara moja mamluki na wapiganaji wote wa nchi ajinabi nchini Libya.
-
Mazungumzo ya kisiasa ya Libya yakwama; pande hasimu zashindwa kuchagua serikali ya mpito
Dec 16, 2020 04:20Jitihada za timu ya wawakilishi wa amzungumzo ya kisiasa huko Libya zimeshindwa kuzaa matunda kwa mara nyingine tena baada ya kushindwa kuchagua serikali.
-
Waziri wa Ulinzi wa Libya: Hatua ya Ufaransa ya kumuunga mkono Khalifa Haftar ni aibu na fedheha
Dec 12, 2020 07:49Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya amesema kuwa, kitendo cha Ufaransa cha kumuunga mkono jenerali Khalifa Haftari kiongozi wa wanamgambo wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya ni cha aibu na fedheha.