-
Mazoezi ya Kijeshi ya "Mtume Mtukufu SAW-12" yafanyika kusini mwa Iran + Video
Dec 22, 2018 15:34Mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Mtume Mtukufu SAW-12" yamefanyika kwa mafanikio katika kisiwa cha Qeshm kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Jeshi la Iran na IRGC zazindua mfumo mpya wa makombora katika maneva ya ulinzi wa anga
Nov 06, 2018 08:01Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC zimeanza luteka ya kijeshi ya ulinzi wa anga iliyopewa jina la "Velayat 97".
-
Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini
Sep 30, 2018 01:26Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.
-
Maneva makubwa ya kijeshi ya Russia Bahari ya Mediterranean, majibu kwa vitisho vinavyozidi kuongezeka vya Marekani dhidi ya Syria
Sep 02, 2018 05:56Ushindi mkubwa linaoendelea kuupata jeshi la Syria na waitifaki wake katika maeneo tofauti ya nchi hiyo, na hatua ya jeshi hilo ya kujiandaa hivi sasa kuusafisha mkoa wa Idlib kutokana na uchafu wa magenge ya kigaidi, imewatia kiwewe waungaji mkono wa magaidi hao yaani nchi za Magharibi na hasa Marekani. Mkoa wa Idlib ndiyo ngome ya mwisho wa magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Marekani na Korea Kusini zaanza maneva ya kijeshi, Trump na Kim kukutana Singapore
May 11, 2018 07:41Jeshi la Marekani na Korea Kusini zimeanzisha maneva ya kijeshi ya anga kwa lengo la kuimarisha uwezo wa kujihami wa nchi hizo mbili katika Rasi ya Korea huku Trump akiwa ametangaza tarehe na mahala watakapokutana na kiongozi wa Korea Kaskazini.
-
Jeshi la Misri laanzisha maneva ya pamoja na jeshi la Ufaransa katika Bahari Nyekundu
Mar 14, 2018 07:28Jeshi la Misri limeanzisha maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na jeshi la Ufaransa katika maji ya Bahari Nyekundu, chini ya ushirikiano wa kijeshi wa nchi mbili.
-
Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea
Feb 11, 2018 04:43Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.
-
Iran yafanyia majaribio kombora la Cruise la Qadir la Jeshi la Majini
Jan 24, 2018 04:37Katika siku ya pilia ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio yaliyofana kombora la la Cruise lijulikanalo kwa jina la Qadir ambalo limelenga shabaha adui bandia katika Bahari ya Oman.
-
Iran yaanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW
Jan 22, 2018 03:05Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo linaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5 katika maeneo ya oparesheni ya kusini na kusini mashariki na pia katika pwani ya Bahari ya Makran na Bahari ya Oman hadi Daraja 15 kaskazini mwa Ikweta.
-
Jeshi la Anga la Iran laanza mazoezi makubwa kati mwa nchi
Nov 01, 2017 04:31Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Isfahan, kati mwa Iran.