Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Waislamu dunaini kuungana na kuuwajibisha utawala wa Saudia kutokana na jinai zake katika nchi za Waislamu eneo la Mashariki ya Kati.
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itaushtaki utawala wa Saudi Arabia katika mahakama ya kimataifa kutokana na vifo vya mamia ya mahujaji wa Kiiarani wakati wa maafa ya Mina mwaka jana.
Rais wa Nigeria ameitaka Saudi Arabia iwasilishe ripoti ya mwisho kuhusu chunguzi zilizofanywa kuhusiana na Maafa ya Mina.