Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mabadiliko ya Tabianchi

  • Guterres atahadharisha kuhusu athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa

    Guterres atahadharisha kuhusu athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa

    Sep 11, 2018 06:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa na gesi chafu ni tishio la moja kwa moja kwa walimwengu.

  • Joto lilivunja rekodi duniani mwaka 2017, wasiwasi kuhusu mustakabali

    Joto lilivunja rekodi duniani mwaka 2017, wasiwasi kuhusu mustakabali

    Jan 20, 2018 01:08

    Mwaka uliopita wa 2017 umetajwa kuwa mwaka uliovunja rekodi ya joto kali zaidi katika historia ya sayari ya dunia pasina kuwepo tukio la El Niño huku kukiwa na wasi wasi kuwa hali itazidi kuwa mbaya katika miaka ijayo.

  • Papa atuma salamu za Ramadhani, akosoa ukaidi wa Trump

    Papa atuma salamu za Ramadhani, akosoa ukaidi wa Trump

    Jun 03, 2017 02:51

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia Papa Francis amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa chakula barani Afrika

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa chakula barani Afrika

    Jan 02, 2017 00:48

    Maeneo mengi ya bara la Afrika mwaka huu mpya wa 2017 yataendelea kusumbuliwa na uhaba wa chakula na hatari ya baa la njaa na ukame kwa kadiri kwamba, Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi kwamba karibu watu milioni 20 hawatakuwa na usalama wa chakula katika nchi za kaskazini na mashariki mwa Afrika.

  • FAO: Chakula na kilimo viende sanjari na mabadiliko ya tabia nchi

    FAO: Chakula na kilimo viende sanjari na mabadiliko ya tabia nchi

    Oct 17, 2016 00:59

    Hali ya hewa duniani inabadilika, hivyo uzalishaji wa chakula na kilimo lazima vibadilike pia kwenda sanjari na mabadiliko hayo.

  • Mwezi Aprili wavunja rekodi ya joto kali zaidi duniani

    Mwezi Aprili wavunja rekodi ya joto kali zaidi duniani

    May 21, 2016 23:51

    Mwezi Aprili mwaka huu umekuwa mwezi wenye joto zaidi katika historia ya dunia, limesema Shirika la Hali ya Hewa duniani WMO katika ripoti yake ya jana (Jumamosi).

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS