-
Russia yaripoti ukuaji mkubwa wa biashara na Afrika
Oct 03, 2023 02:43Mauzo ya biashara kati ya Russia na nchi za Afrika yameongezeka kwa asilimia 43.5 katika miezi minane ya kwanza ya 2023 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka mmoja uliopita, RBK ya kila siku ya biashara iliripoti jana Jumatatu, ikinukuu Wizara ya Uchumi ya Russia.
-
Ombi la upanuzi wa BRICS; jaribio la kukomesha utawala wa sarafu ya dola ya Marekani
Apr 30, 2023 03:34Nchi 19 za dunia zimeeleza nia yao ya kutaka kujiunga na kundi la BRICS, huku kundi hili, kama taasisi mpya ya kimataifa, likitaka kupanua ushirikiano wa kifedha na kiuchumi kati ya nchi wanachama. BRICS pia imetoa wito wa kufanyika mabadiliko ya miundo ya taasisi za kimataifa, hasa mabadilishano ya kifedha ya kimataifa, na kukabiliana na udhibiiti wa dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa.
-
Tukio la kushushwa bendera ya Marekani katika majengo ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo katika mji wa Chengdu
Jul 29, 2020 06:00Vyombo vya habari vya China juzi viliripoti kuwa bendera ya Marekani imeshushwa na kuondolewa katika majengo ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo katika mji wa Chengdu.
-
EABC yazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kufungua anga zao, kuruhusu utalii na biashara
Jul 14, 2020 13:08Baraza la Biashara la Nchi za Afrika Mashariki (EABC), limezisihi nchi zote za kanda hiyo kufuata mfano wa Tanzania kwa kufungua anga zao ili kuruhusu safari za kimataifa kuingia na kutoka katika nchi zote za kanda hiyo.
-
Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara
Jun 18, 2017 13:36Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.
-
Kongamano la wawekezaji wanawake wa Kenya na Rwanda-Kigali
Jul 25, 2016 08:00Rwanda ni mwenyeji wa kongamano la kwanza la ujasiriamali la kujadili changamoto wanazopitia wafanyabiashara wanawake katika kanda ya Afrika Mashariki.